Atanipanda na kuniona nimekufa kwake au atanipenda?

NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,667
362
Inamkuta rafiki yangu...anashindwa kuchukua hatua

Msichana aliyempenda sana hapo awali na wakatengana kila mtu kuelekea njia yake toka mwaka 2008 anajisikia kumpenda sana na binti anaonesha nia ya kutaka kuwa nae kwa mara nyingine kuendeleza uhusiano.........

Anashindwa kuelewa, je akirudiana nae msichana atampenda na kuona kuwa yeye jamaa anampenda au atampanda kichwani kwa kuona hana pa kukurukukia pengine?

Nani amewahi kuona hali kama hii? Je huwa mahusiano ya pili thabiti zaidi au huzaa tatizo kama mmojawapo kumdharau mwingine? Mnasemaje katika hali kama hii?

Nawasilisha
 
Anajihisi tu jamaa yako, mapenzi yanaweka kuwa very successful mwambie asiwaze mabaya tu awaze na mazuri kwamba atakuwa amemuoa mwanamke anaempenda kwa dhati, ila kama anaogopa kupandiwa kichwani na ameshaona dalili hizo, aonyeshe msimamo mapema kwa mwanamke wake asisubiri keshamdekeza wee ndio anaibuka na sheria zake
 
Well said and noted Gaga.....haya mambo unajua yanakuja nahisi nyingi sana kwenye mbongo matokeo yake unaweza jikuta unapotaka kusema NO unasema YES na unapotakiwa kusema YES unasema NO
 
Kuanza upya si ujinga.
Kwa vile awali walikuwepo ktk mahusiano, na kwakua kila mmoja anayajuwa mapungufu na mazuri ya mwenzie, basi wana nafasi ya kujipanga tena upya vizuri zaidi. Muhimu, wasiyakumbushie yote ya nyuma ktk yale yaliyopelekea kuachana hapo awali kwa kuyatenda au kuyataja ktk uhusino huu wa mara ya pili.
 
Fanya umuoe. Kwenye ndoa ndio utapata majibu hayo hata hivyo kumbuka kuwa zimwi likujualo halikuli likakwisha. Kama bado anakukubali baada ya miaka hiyo ina maana kuwa bado anakupenda huyo lakini pia tizama kama hali yako kiuchumi imetengemaa kuliko mwanzo isije ikawa pia ni sababu. Peleka pendekezo la ndoa utizame mshindo wake

Inamkuta rafiki yangu...anashindwa kuchukua hatua

Msichana aliyempenda sana hapo awali na wakatengana kila mtu kuelekea njia yake toka mwaka 2008 anajisikia kumpenda sana na binti anaonesha nia ya kutaka kuwa nae kwa mara nyingine kuendeleza uhusiano.........

Anashindwa kuelewa, je akirudiana nae msichana atampenda na kuona kuwa yeye jamaa anampenda au atampanda kichwani kwa kuona hana pa kukurukukia pengine?

Nani amewahi kuona hali kama hii? Je huwa mahusiano ya pili thabiti zaidi au huzaa tatizo kama mmojawapo kumdharau mwingine? Mnasemaje katika hali kama hii?

Nawasilisha
 
Fanya umuoe. Kwenye ndoa ndio utapata majibu hayo hata hivyo kumbuka kuwa zimwi likujualo halikuli likakwisha. Kama bado anakukubali baada ya miaka hiyo ina maana kuwa bado anakupenda huyo lakini pia tizama kama hali yako kiuchumi imetengemaa kuliko mwanzo isije ikawa pia ni sababu. Peleka pendekezo la ndoa utizame mshindo wake

Mkuu mimi tayari kusa oa...jus' a fran of mine

duh! title ya thread hii cjaielewa kabisa mkuu, hebu idadavue pls!

Mbona iko open chijana wangu? Issue hapa ni kuwa jamaa hana uhakika km akimuoa huyu binti atampenda au atamdharau kwa kumuona kuwa alishaacana nae lakini karudi tena hivyo ni kama ishara ya kutokuwa na pakwenda hivyo inaweza mpa binti kiburi cha kumpanda jamaa kichwani? Hapo vipi sasa chijana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom