Atanifaa au nimpotezee?

Atanifaa au nimpotezee?

Maelezo hata sijaelewa ingawa unajigambaa umesoma hadi chuo
 
Kuna manzi nilimwambia hisia zangu toka chuoni mwaka wa pili, akajifanya msimamo sana nikawa mpole tu.

Miezi miwili baadae akawa ananitafuta nikimwomba sex hataki, tukamaliza, tumepata kazi ukanda mmoja na kama kawaida anajisogeza.

Vipi enzi hizo alikuwa na mwingine au?

we piga afu temana nae
 
Inaonyesha na wewe ulitaka papuchi upige then utembee...sasa alikushtukia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom