Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,235
Mmh..siku hiyo hiyo kalala na wanaume wawili bila kinga yoyote?? Kwa mtindo huu hatuponi kabisa!!
Huyo hana lolote alijua fika kuwa ni mme wa mtu sasa kachanganya madesa walewale kikazi zaidi.. AWAPE ZAMU WA MTOTO WA KWANZA AMPE MCHUMBA NA MWAKANI ACHUKUE MIMBA KWA WOTE MTOTO AMPE MME WA MTU .....
Asha,hiyo DNA sample za wanaume zake ataipataje? halafu siku hizi DNA test nasikia mpaka kwa order ya mahakama,ataipataje hiyo order?Dah! I feel for the lady jamani.... Kuna wanaume Ving'anga'nizi waweza mlaumu huyo dada but ukweli unabaki mwanaume kama huyo kazi ipo kumpotezea...
B2T Kama alishapanga azae na huyu jamaa mpya, that is well and good. But hio mimba hata kama ni ya jamaa mpya huyo jamaa wa kale hawezi elewa ataona kama anapigwa tu changa la macho, hivo it is better mdada ajiandae kwa DNA test mtoto atapo zaliwa... Hata hivo pamoja na matendo yoote ambayo jamaa anamfanyia ama niseme kumng'ang'ania naona huyo dada bado anampenda huyo mme wa mtu na hicho ndo kinamfanya ashindwe kutoa maamuzi yenye msimamo...
mhh wew usiseme ivo jaman...chek situation ..angekuwa anajua km ana mke asingejiweka ivo..afta 2yrs ndo anajua na jamaa agressive atak kuachwa sa afanyaje?
yupo kwenye dilema...angekiuwa anafuraia isingemdatisha mpk aombe msamaha cz angeoana yap mtaj tayar wa kudai nyumba mbez...
usimuhukumu...kuna wanaume waongo wewe anakwambia SINA MKE kumba ana wake watatu......afu auon ata dalili km ana mke..ukishawekeza hisia badayeeee ndo wajua....
Hivi huyo jamaa angemkataa (mume wa mtu) angemuuwa au? Maana kama ni kipigo tu angemfikisha polisi. Kwa nini tunaogopa kutumia vyombo va sheria?
DNA inafanyika kwa mtoto tumboni
Hana haja ya kuwatoa damu hao wanaume, anaweza kutumia kama miswaki, nywele zao kupeleka.
Ili asijichangane ningemshauri apeleke nywele za mmoja tu, na majibu yakitoka atajua baba ni yupi.
Ila ushauri mwengine ni kuwa aache tabia hiyo....haikubaliki
Kaka sijaona kitufe cha like..Thanks bana wanaboa sana hawa ndio wanaharibu sifa za dada zetu wale wa maanaAsha,hiyo DNA sample za wanaume zake ataipataje? halafu siku hizi DNA test nasikia mpaka kwa order ya mahakama,ataipataje hiyo order?
Halafu nyie kinamama kwa kuteteana mmezidi,yaani mnaona kabisa mwenzenu kalikoroga lakini mmo tu mnatetea,kha! alishindwa nini kumwambia huyo mme wa mtu kuwa 'anaumwa kichwa?' mtaka yote tu huyu , aende zake huko.
ooh kumbe Rose mnafahamiana eehee...we unavyosema uuna huzuni kubwa wakati unachanua miguu hiyo huzuni alienda wapii?halafu huna haya kusema mme wa mtu anataka mtoto we ushakuwa mkewe ukamzalie pumbafu kwanini umekuja kuuliza hapa kama unajijua kuwa wewe ni incubator?pelekeni maujinga yenu huko
Asha,hiyo DNA sample za wanaume zake ataipataje? halafu siku hizi DNA test nasikia mpaka kwa order ya mahakama,ataipataje hiyo order?
Halafu nyie kinamama kwa kuteteana mmezidi,yaani mnaona kabisa mwenzenu kalikoroga lakini mmo tu mnatetea,kha! alishindwa nini kumwambia huyo mme wa mtu kuwa 'anaumwa kichwa?' mtaka yote tu huyu , aende zake huko.
Siku nyingine huwa unatoa point wewe!! Huwa unaniboa pale tu unapowalamba miguu mafisadi na kukumbatia magamba. By the way habari za Mwanza? nilijaribu kukuangalia pale PPF - Gold crest hotel sikukuona au ndiyo ulitoroka nilivyokuambia nitakutafuta?Mmh..siku hiyo hiyo kalala na wanaume wawili bila kinga yoyote?? Kwa mtindo huu hatuponi kabisa!!