Umesema solve for Z, any other simplifications wont matter sababu we unachotaka ni solution ya Z,
Code:
Z = Arccos(2)
ambayo jibu lake ni
Code:
undefined
simply because Cosine can only be from -1 to 1... Kama wengine walivyo-suggest I'm pretty sure hilo swali lilitakiwa liwe in hyperbolic form, hiyo Cos sio Cosine bali ni Cosh na still ungesema unataka solution gani in the end coz one might as well just give u the inverse kuliko kukaa na ku-expand katika Euler form yake.