La muhimu kuzingatia ni method. Trick ipo kutumia eular formula na solution of a quadratic equation. Anybody solving equation will use the same method. Copy and paste was merely to save me trouble of typing the solution.
Is it that one has copied the other, or, you have all copied from the same source!
Or else, the IDs belong to one person.
La muhimu kuzingatia ni method. Trick ipo kutumia eular formula na solution of a quadratic equation. Anybody solving equation will use the same method. Copy and paste was merely to save me trouble of typing the solution.
This might probably be the best answer to the above query.
ha ha hahaDaaah.. Nilitaka nishangae unajipendekezaje kwenye hesabu zisizo na pesa!?
Co Kwel ,,shda N Kuwa Tutaitoa Vp Hyo Cos Up To Cosh Na Pia Vp Kuhusu Z
Hebu shusha namba hapo... Nakuaminia!.Woooo........
Hiyo hesabu utaitumia wapi kupata hela?
Hebu shusha namba hapo... Nakuaminia!.
zina faida gani kujua hesabu za kitabuni eti Cos, Tan, Sin, wakati deal la kupata hela mtaani halina application ya vitu hivyo!?
Hyperbolic function au Complex Numbers?
Kwanza kitambo sana, nshasahau. Vitu vingine duniani havina application katika maisha.
Vilaza wa hesabu utawatambua kwa maneno yao.
wewe umezitumia wapi!? intergration oooh sijui differential wapi na wapi, sikuhizi, tuwe wazi,