Kwa yeyote atakayeguswa nahitaji kumshauri kijana wangu lakini sina upeo wa nini achague ni kwamba amechaguliwa vyuo viwili course ya kwanza ni Gender and Development na chuo kingine course ni Bsc in History naomba mnisaidie ipi at least in uwanja mpana wa ajira hapo baadae
Aende Bsc in History iko gudKwa yeyote atakayeguswa nahitaji kumshauri kijana wangu lakini sina upeo wa nini achague ni kwamba amechaguliwa vyuo viwili course ya kwanza ni Gender and Development na chuo kingine course ni Bsc in History naomba mnisaidie ipi at least in uwanja mpana wa ajira hapo baadae
Unaweza kunifafanulia kidogo Eng?Aende Bsc in History iko gud
Aksante kakaZote mbaya ila kama machaguo ni hayo mawili pekee asome hiyo ya Gender..
History ipo limited sana kwenye content na hata uwanda wa ajira
Daah umenifungua ChiefAende Gender
Anauwezo wa kuja kupata kazi kwny NGO'S mbalimbali pia hata kwny vituo vya afya kama "muelimishaji rika"
au hata binafsi kuanzisha kampuni inayodili na maswala ya jinsi na ustawi wa jamii
Nashukuru mnoo kwa maelezo yako yenye kutoa pia suluhisho au nini pia cha ziada kifanyike asante sana.naona ajiandae kisaikologia kozi zote hizo sio marketerble ki vile kwa ss kidogo ukilinganisha zenyw ipi bora naona kidogo hyo ya gender ila nafasi za kazi kweny afya ziko ila sio nying pia kweny mashirika ya kimataifa ina opportunity tatzo kule wanaitaji wabobozi sn kwahy ukiona kazi kweny hy mashirika kupata ni shida kama hauna connection pia
imani yangu hakuna lisilo wezekana kwan kila mtu ana bahati na ridhiki yake na haijue siku itakua asikate tamaa kama ndio anaitaji au ndio chaguo lake kweny hzo kozi
kubwa ni kuwa na master plan ambayo ina vision ndani yake na nn mfanye kipinda anasoma hadi ana maliza naona sio kila kitu kumuachia mungu wakati ametupa uwezo
wengi tumekua tunasoma kwa bidii tu na kusema mungu anatafungua ni makosa sn ukimaliza hauna pakuazia mwishowe unaua carrier yako unacho waza pesa tu na sio kujitegeneza unapotaka kufika.
elimu siku hizi haina value tena kwakua watu wanaosoma ni wengi alafu sio productive au creative kwahy jamii yetu imekua ikiwazomea sn watu wanaosoma nakuwaona wajinga zaidi ya wao walifeli wakabaki mtaani.
Pamoja mkuuDaah umenifungua Chief
Digodigo, vipi Samunge, Oldonyosambu hadi Jema wazima? Nasikia babu alifariki asee. Mwambie dogo akafanye diploma ya macho, meno au Nursing then akipata ajira akafanye degree yake. Salamu kwa wasonjo.Daah umenifungua Chief