Aisee mimi nimesahau....ngoja nibaki kuwa mtazamaji tutina wa mjuba ba?baba kasili li,lindi na vita ta,tausi ni ndege wanguuundege wangu wa fahariii....
Inabidi nikupeleke studio pale fish crab tukafanye kituUmeona eeh
Inabidi nikupeleke studio pale fish crab tukafanye kitu
Ndege wa fahari rii,rinda la shoga gaa,gari La baba baa,baba mdogo goo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema na ww tukuunge tukatoe kitu cha hatari sana
nawaza tu huo wimbo utakuwaje
hapana aisee..hicho kituko kafanyeni wenyewe..Sema na ww tukuunge tukatoe kitu cha hatari sana
yupo humu...aje ajione..huu wimbo wa zamani ukiwemo na ule wa "nyani mkindu tumkindule"