Ndugu Wanajamvi, Poleni Na Majukumu Ya Kila Siku, Nakuja Jukwaani Kuomba Msaada Wa Kupata Kazi! Nitaandika Kwa Ufupi Kuokoa Muda, Mwaka 2008 Nilichaguliwa Kusomea Ualimu Chuo Kukuu Cha Dodoma, Sikumaliza Kulitokea Mgomo Tukafukuzwa, Hatukurudishwa Chuo Toka Tufukuzwe Mpaka Sasa,
Baada Ya Kusubiri Kwa Muda Wote, Nikaamua Kuomba Chuo Kingine Nikapata Nikasomea Bachelor Of Arts In Community Economic Development Nimemaliza 2013, Nyumbani Kwetu Ni Mimi Ninaetegemewa, Nyumbani Ni Masikini Sana! Mama Yangu Ni Mjane Masikini, Sina Ndugu Aliesoma Kunishika Mkono Nipate Angalau Kibarua Nimsaide Mzazi Huko Kijijini,
Nimejaribu Kuweka Mambo Sawa Angalau Nijikwamue Kiuchumi, Lakini Mambo Yananiendea Mrama! Nilinunua Boda2, Piki2 Ikaibiwa Nikarudi Kabisa Kwenye Hali Ya Umasikini Mkubwa, Nipo Tu Nyumbani Sina Pa Kuanzia, Kilimo Mvua Hainyeshi, Elimu Ninayo, Nimefaulu Kwa GPA 3.1, Yaani Hali Yangu Sio Nzuri! Naomba Ndugu Zangu Mnisaidie Ninadhalilika Mtaani!