Waache unafki hao. Wanaojiuza Bwawani na pale Makaburini karibu na Gymkhana watavaa mabaibui?
Nategemea siku Lukuvi,Mkapa,Lowassa wakiingia znz wakamatwe kwa kuvaa Vidani (Cheni), Miraji Kikwete kwa kuvaa Hereni, Kikwete kwa Kuvaa Bangili Mkono wa Kulia, Vick Kamata kwa kuvaa Robo tatu Uchi!
Watembea nusu Uchi adhabu yao kutupiwa majni Zanzinar. Jihadharini
"Wakikataa wapigwe tu" Mizinguo Pinda
Ha ha haa af least leo nimepata mtu wa kunichekesha! LolNimeipenda,kuvaa nusu uchi ni ujinga alaf unakuwa unawalingishia watu,wazanzibari hawataki hyo,wanataka mtu atembee uchi full sio nusu uchi,safi sana,hyo sheria nimeipenda,inawabana wanaotembea nusu uch ila haiwahusu wanaotembea uchi full.
Nguo za nusu uchi zikoje?
Kalio moja nje moja limefunikwa
Au makalio yanafunikwa nusu au
Naombeni ufafanuzi tu.....