singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
Magufuli kamwe hawezi kuwa rais
Hata urais wa chama cha mieleka??
Hivi list of shame inamhusisha magufuli o lowassa maana nimeskia tena leo ni mwembeyanga kulekule kwa Dr slaa
Magufuli kamwe hawezi kuwa rais.Hapendwi hata na mkewe,amegoma kumuombea kura
Lowassa anapendwa na watanzania wengi
Magufuli kamwe hawezi kuwa rais.Hapendwi hata na mkewe,amegoma kumuombea kura
teh teh teh..wewe kapi nyumbu au cdm-mbowe.Magufuli kamwe hawezi kuwa rais.Hapendwi hata na mkewe,amegoma kumuombea kura
teh teh teh..wewe kapi nyumbu au cdm-mbowe.
Hongera wewe unayependwa na mafisadi mwambie Lowasa na ufisadi wake pamoja na wewe na ufisadi wenu mahakama ya mafisadi inakuja itawahusu.