Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Haahhahaaha babu wa kimanga kapata mtoto mdogo wacha nimwambie mabrouk🙂🙂🙂🙂🙂
Mtoto kwa mama yake tu
Hahahahah lol babu hujambo wewe?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
sijambo
Farkhina
Nimesahau kukuambia mapishi ya nyama, nilipika lakini ndio hivyo tena kwenye mlo nilikusahau, samahani, leo ndio ninakumbuka baada ya kukuona
Hahahaha babu weeee ubaya huo...vipi ilikua tamu?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
ingelikuwa mbaya ningekujuulisha siku ya mwanzo, ilikuwa tamu
In the next five years huyo mdada atajakuwa cha wote kwani mzee gari atapaki kwa kuwa halitoweza mwendo tena!