ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,998
- 2,242
I hope members mpo salama salmini.
Nataka niwasimulie tukio ambalo limenitokea kipindi hiki,mimi ni kijana tu mdogo nipo katika 20 something kimiaka,sijaoa ila still nipo chuo.tokea kukua kwangu katika ulimwengu wa mapenzi sikuwahi kupenda kutokana na kampani ambayo nimekua nayo,kampani yangu ilikua ni watu wa kuplay tu na girls aka maplayers kwaiyo hata mimi nikawa na kijitabia hiko cha kua mtu wa kupenda papuchi nikakua nacho hiko kijitabia mpaka nikawa chronic katika kuseduce,kutokana na appearence pamoja na experience ambayo ilinipa confidence ya kumvaa yoyote yule.
Wiki iliyopita wakati nimerudi home nimekua nikimpeleka mdogo wangu wa nursery shuleni kwao sasa huko nursery kwa huyo dogo kuna mwalimu wake ambaye ni binti wa makamo tu,nilimzingua tu kidogo nikachukua namba zake tukawa tunawasiliana,ila toka nianze kuwasiliana naye najihisi nipo in love sana na yeye yaani nimekua soo desparate na yeye kama vile sijawahi kua na mwanamke,yaani nikimuona tu na fill different,nimekua mzito kwake nikiwa nae nipo speechless sina nguvu na kitu cha kushangaza ni kua ni wakawaida sana hana kitu special ambacho kigeni af pia yupo local tu.
Aisee I never had this feeling before nimekua kama nimechizikana yeye sasa mpaka sasa sijamua approach ila daily lazma nionane nae sasa kitu ambacho kinansumbua je nikimuapproach akikubali je nitadumu nae,maana she is not my type ila mpaka now nimetokea kumpenda sana na je hii feeling ya kumpenda mtu sio type yako mno kiasi hiki hua inaweza ikawa ya kweli au inakua nguvu ya soda tu kiukweli yaani na ujanja wangu wote lakini kwa huyumsichana nimekua sina ujanja wenye experience naomba mnisaidie.