At&t, t-mobile, verizon

At&t, t-mobile, verizon

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,504
Reaction score
8,253
Wakuu nataka kununua simu iphone kupitia mtandao wa ebay, lakin naona simu nyingi wameandika at&t, t-mobile, verizon,nk je nini maana hizo mambo? Zinaongeza au kupunguza nini katika simu? Na mnanishauri nini? Zamani nilishawahi kuona simu ya jamaa samsung ikiwaka inaandika t-mobile kitu ambacho ni tofauti samsung nyingine, kwa kile ile kitu sikuipenda kabisa.

Karibuni
 
Ukiona simu zimeandikwa hivyo jua iko locked na mtandao mmoja na huwezi kutumia laini zingine zaidi yao hadi unlock kwa code maalumu.

Ukitaka kununua simu mitandaoni kama ebay, Amazon etc tafuta iliyo unlocked pia be careful na simu za iphone used utaweza uziwa ambayo ipo locked na icloud kwasababu ni ya wizi au mmiliki alipoteza pia impossible kuitoa hiyo icloud hadi mwenye nayo haitoe mwenyewe.
 
Kuna zingine zimeandikwa unlocked (at&t) hapo inakuaje? Na zile walizoandika sprint je?
 
ImageUploadedByJamiiForums1448357681.656130.jpg
 
Kuna zingine zimeandikwa unlocked (at&t) hapo inakuaje? Na zile walizoandika sprint je?

sprint pia ni kama hao verizon na t-mobile nao ni mtandao wa simu, ikiandikwa unlocked inamaana ilikuwa locked na mtandao then wakai unlock ili iweze kutumika na line nyengine
 
Nashukuru Chief
 
Last edited by a moderator:
Wakuu nataka kununua simu iphone kupitia mtandao wa ebay, lakin naona simu nyingi wameandika at&t, t-mobile, verizon,nk je nini maana hizo mambo? Zinaongeza au kupunguza nini katika simu? Na mnanishauri nini? Zamani nilishawahi kuona simu ya jamaa samsung ikiwaka inaandika t-mobile kitu ambacho ni tofauti samsung nyingine, kwa kile ile kitu sikuipenda kabisa.

Karibuni

unatumia shipping gani?
 
Atnt , t mobile na Verizon ni makampuni ya uduma ya simu kama voda , tigo.

Simu zao ziko locked na hizo kampuni, mara nyingi mtu anapata simu kupitia kwao njia mkataba.

Simu za atnt na t mobile ndio nzuri kununua kwako wewe kwa vile ni gsm na utaweza ku-unlock kama haijafunguliwa bado.

Verizon na sprint usinunue simu zao.
 
Dec 5th, 2013
Two basic technologies in mobile phones, CDMA and GSM represent a gap you can't cross. They're the reason you can't use AT&T phones on Verizon's network and vice versa. But what does CDMA vs. GSM really mean for you?

CDMA (Code Division Multiple Access) and GSM (Global System for Mobiles) are shorthand for the two major radio systems used in cell phones. Both acronyms tend to group together a bunch of technologies run by the same entities. In this story, I'll try to explain who uses which technology and what the real differences are.

Which Carries are CDMA? Which are GSM?
In the U.S., Sprint, Verizon and U.S. Cellular use CDMA. AT&T and T-Mobile use GSM.

That means we're mostly a CDMA country. It also means we're not part of the norm, because most of the world is GSM. The global spread of GSM came about because in 1987, Europe mandated the technology by law, and because GSM comes from an industry consortium. What we call CDMA, by and large, is owned by chipmaker Qualcomm. This made it less expensive for third parties to build GSM equipment.

Hio tofauti kutoka pcmagazine.com
 
Mi nachifahamu kwa sasa simu nyingi zinakupa option ya kurun both unachagua kama unataka cdma au gsm mwenyewe na CDMA hasa inasupport 3g network services na gsm inasupport edge network zaidi. Kwahiyo kwa tz ukiwa mfano na line ya halotel yenye 3g across the country inamaana ni only few areas utashindwa ku communicate. Cdma ni modern technology zaidi
Ila kiufupi kwa africa kutokana na poor 3g network simu yako ya cdma itafanya kazi vizuri mjini tuu
 
toka lini cdma imekuwa modern? evdo inachechemea wakati hspa+ inakwenda hadi 42mbps na sidhani hata kama wana 4g hao cdma.
 
Mi nachifahamu kwa sasa simu nyingi zinakupa option ya kurun both unachagua kama unataka cdma au gsm mwenyewe na CDMA hasa inasupport 3g network services na gsm inasupport edge network zaidi. Kwahiyo kwa tz ukiwa mfano na line ya halotel yenye 3g across the country inamaana ni only few areas utashindwa ku communicate. Cdma ni modern technology zaidi
Ila kiufupi kwa africa kutokana na poor 3g network simu yako ya cdma itafanya kazi vizuri mjini tuu

haha unachanga na ile wcdma
 
Nijuavyo mimi hayo ni majina ya mitandao kama sisi tigo, Airtel na voda. Mitandao hii mostly ipo US na unapewa na simu zao zikiwa locked ambazo ukija kwetu huwezi kuzitumia.
 
Back
Top Bottom