Wasiliniana na Fundi huyu anaitwa Seleh 0713614946 .. Yupo Posta Dar Es Salaam nyie aliye unlock Iphone yangu ya AT&T
mimi i have a cdma gadget. nimeweza ku-unlock sprint ila ishu ipo kwenye IT personnel wa kampun za cm hapa bongo. nikimuomba anipe baadh ya settings nifanye confgrtn wanazingua!
Hi,
wadau kuna mwenye acive or inactive AT&T simcard hapa TZ for activating Iphone5? I have tried to jailbreak lakin stil patupu....
msaada wenu wadau..