Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,185
- 8,453
Wamarekana jana wamechezea kipondo mpaka biden alitaka kutoa machozi na sio muda mlefu watachezea kingine
Unajua Marekani imeenda lini Afghanistan?Acha zako ww, walikua wanaishi vizuri tu, nchi zote sio tu hio hata Libya na Iraq kulikua fresh tu, makafiri kinachowaumiza ni dini tu wanakua hawana raha rohombaya zimetawala ktk vifua vyenu, HAWATORIDHIKA MAYAHUDI NA MANASWARA MPAKA MFUATE MILA ZAO
Ndio maana kutwa mnawaza vita tu na pandikizi za chuki na kuwagawa watu
Yaani nyinyi ni kupora mali na chuki za kidini
You mean all of them are stupid like you think? Hao ni watu wako kazini kutengeneza nchi yao iwe wanavyotaka kwa vizazi vyao. Nchi nyingi za ulaya zimepitia hali ya vita miaka hiyo....na matukio ya vita kama hayo ndiyo yameleta kuheshimiana.These people are so stupid. What kind of human beings enjoy to kill the fellow human beings? SAD!
Muongougaidi na uisilamu ni kama mapacha
Tafuta vyanzo vingine vya Habari sio kutegemea Jf tu na radio teiranKama ilivyokuwa Iraq, Libya,Syria na sasa Afghanistan kote huko alikuta watu wanaishi kwa amani na akiondoka anaacha civil war
Hivi uwa mnakata vichwa ndiyo mnakoment ama ndiyo jitihada za kupinga UKWELI kwa uongo uliovikwa kot LA UKWELI?.Wrong, all terrorists are no Muslims. There are Christian terrorists too! Ever heard of CRUSADE.. that was Christian terrorism. Ever heard Ultra rightist, white nation etc in USA, that is christian terrorism.
US military needs the Taliban to protect themHivi uwa mnakata vichwa ndiyo mnakoment ama ndiyo jitihada za kupinga UKWELI kwa uongo uliovikwa kot LA UKWELI?.
Chanzo cha Crusade inakijua, Hao jihadist wakivamia nchi za kikristo kwa dhumni LA kuzisimilisha..
Chanzo cha crusade ni Hao jihadist sio wakristo.
American soldiers can't be risking their lives to keep Afghanistan a secular state.US military needs the Taliban to protect them
Welcome to 2021 folks.
Mtu anayejitoa mhanga (suicide bomber) ni ngumu kumtambua na kumzuia akiwa katikati ya watu wengi.Wamarekana jana wamechezea kipondo mpaka biden alitaka kutoa machozi na sio muda mlefu watachezea kingine
Kuna sehemu nimesema taliban ni ISIS?ASIS wapo miaka mingi wakishirikiana na vikundi vidogo vidogo vya makabila mengine kupigana na wa TALIBAN, kwenye majimbo huko, sasa na wao juzi walitishia kuushambulia uwanja wa ndege wa kabul!!Taliban sio is
Ni vitu viwili tofauti, Talinan ni wenye nchi wapo kihalali
Niwie radhi, hauujui Uislam.Taliban
solution hapo ni kusepa kwenye incha ya watuMtu anayejitoa mhanga (suicide bomber) ni ngumu kumtambua na kumzuia akiwa katikati ya watu wengi.
Walikuwa wanachapana marisasi ya kutosha hata kabla ya Marekani kwenda.
soma historia yao.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Unataka kusema chanzo cha machafuko Afhganistan ni Marekani?!
Kasome historia yao.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ni propaganda za mabepari kuhakikisha moto unawaka kama Syria. Wana mbinu mbaya sana punde Afghanistan inaingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe halafu yeye nachagua awe upande wa naniKuna watu watakuja watasema ni propanganda za marekani.