At least 13 US service members killed in Kabul airport attack

Marekani na vibaraka wake ndiyo chanzo cha machafuko duniani,,, na ukifatilia almost zote ni nchi za kiarabu, pa1 na Afghanistan n.k. Iran bado wanafanya kila njia waivuruge lakini wameshindwa. Na zote ni nchi za kiisilamu.

Ukiona mmatumbi anawatetea hao nguruwe ujuwe sababu za kiimani tu,,,, na sio kingine. Lakini kuna baadhi ya wakristo hawafurahishwi wanachokifanya mabeberu dhidi ya nchi za kiarabu/Kiisilamu, awa wanajitambua, na hawajipendekezi kwa mabeberu. Wabarikiwe.

ndivyo mtume wenu alivyowafundisha kuita binadamu wenzio nguruwe watu wachache kama nyie ndiyo mnaofanya uisilamu uchukiwe,
 
Sasaivi eti wanasema Urusi na China wanaplay part ya hapo

haijalishi ni nani kapiga bom kazi ya kuilinda afganistani ipo chini ya talibani wao ndiyo wanaobeba lawama zote, acha kuleta mbwembwe shekhe kwenye maisha halisi tuweke siasa na mahaba ya kidini kando ifike mahali tujali uhai wa watu, talibani wameiondoa serikali iliyokuwa madalakani kihalali sasa ni jukumu lao pia kulinda maisha ya waafganistani,
 
kumbe hawataki maskini wanalazimishwa

Twenty-two American soldiers killed themselves today because of the media-championed wars they didn't want to fight. But US media only mentions 12 marines. Tomorrow, another 22 US soldiers will kill themselves. And the day after, and after, and after.

ndicho kinachokufurahisha shekhe huo sio uisilamu
 
Acha zako ww, walikua wanaishi vizuri tu, nchi zote sio tu hio hata Libya na Iraq kulikua fresh tu, makafiri kinachowaumiza ni dini tu wanakua hawana raha rohombaya zimetawala ktk vifua vyenu, HAWATORIDHIKA MAYAHUDI NA MANASWARA MPAKA MFUATE MILA ZAO
Ndio maana kutwa mnawaza vita tu na pandikizi za chuki na kuwagawa watu

Yaani nyinyi ni kupora mali na chuki za kidini

uisilamu ni kama bangi ukishaingia kichwani ni shida
 
Hao taliban si watumiwe na nchi jiran na Israel ili wayahudi wakimbie huko hasa ile milima golan Syria warudshe maana taliban wanaonekana wameshawahi wagonga urusi wakakimbia sasa marekan naye kakimbzwa waarabu wanasubiri nn kuwatumia kumtoa myahudi pale
 
haijalishi ni nani kapiga bom kazi ya kuilinda afganistani ipo chini ya talibani wao ndiyo wanaobeba lawama zote, acha kuleta mbwembwe shekhe kwenye maisha halisi tuweke siasa na mahaba ya kidini kando ifike mahali tujali uhai wa watu, talibani wameiondoa serikali iliyokuwa madalakani kihalali sasa ni jukumu lao pia kulinda maisha ya waafganistani,
Kwahio unamaanisha Serikali ilioekwa na Marekani ndio halali ile ya wao wenyenye sio halali
 
Kwahio unamaanisha Serikali ilioekwa na Marekani ndio halali ile ya wao wenyenye sio halali

unahakika gani iliwekwa na marekani, talibani sio chaguo la wa afganistani imejiweka yenyewe na ndiyo maana raia wameamua ni heli kuwa wakimbizi marekani kuliko kuwa chini ya utawala wa kiwendawazimu wa talibani,
 
uchochezi wangu upo wapi apo?
"wanakupenda kwa makafiri"

Hii kauli kwa mtu mwenye nidhamu hawezi kuitumia kwa sababu anajua athari ya matokeo ni yapi hususani humu JF.

Na ndivyo historia ya Jf humu ndivyo ilivyo na historia ni "fact".

Wewe unaitumia hii lengo lako ni lipi kama si kuiamsha fitina watu waparuane?

Na huo ndiyo uchochezi.
 
Hivi tatizo ni uislamu au nini? Kwamnini hawa waislamu wanawaua wenzao kikatili hivi na kuamini wako sahihi? Ni dini yao inaruhusu haya?
 
makafiri mna tabia hiyo ya kuhusisha ugaidi wa WAislamu na uislamu, japo si wote, baadhi ambao si waelewa.
Mstaarabu wewe kwani wanaochinjana si waislamu kwa waislamu?
Tunaomba sana mchinjane mmalizane ili dunia yetu ipate kutulia kwa kubaki na wanaomjua Mungu.
 
"wanakupenda kwa makafiri"

Hii kauli kwa mtu mwenye nidhamu hawezi kuitumia kwa sababu anajua athari ya matokeo ni yapi hususani humu JF.

Na ndivyo historia ya Jf humu ndivyo ilivyo na historia ni "fact".

Wewe unaitumia hii lengo lako ni lipi kama si kuiamsha fitina watu waparuane?

Na huo ndiyo uchochezi.

kauli hii anapoitumia [mention]STRUGGLE MAN [/mention] ya kuita watu makafiri kwako inakuwa sawa ila tatizo ni pale anapoitumia mtu unaye hisi si wa imani sawa na yako,
 
kauli hii anapoitumia [mention]STRUGGLE MAN [/mention] ya kuita watu makafiri kwako inakuwa sawa ila tatizo ni pale anapoitumia mtu unaye hisi si wa imani sawa na yako,
Screenshot_20210828-103132.png

Kwa nini unatumia sana hisia kuutafuta ukweli?

Hakunijibu kwa sababu anajua alichokifanya!
 
View attachment 1912224
Kwa nini unatumia sana hisia kuutafuta ukweli?

Hakunijibu kwa sababu anajua alichokifanya!
Kuna watu humu wanatakiwa watumiwe majibu ya force kutokana na mabaya kutokana matamshi yao, sio wote wanastahiki majibu ya upole, nadhani sio mgeni ww humu ndani, mtu anapokuita gaidi au kumtukana Mtume siwezi kumvumilia lazima apate majibu mkabala
 
Back
Top Bottom