Prince Naahjum_
Senior Member
- Jun 13, 2016
- 139
- 125
Pindi jua lichomokapo asubuhi huchomoka na baraka za watu waliohai. Mimi na wewe ni miongoni mwa watu tuliohai, hivyo hatuna budi kupokea baraka hizo za Mungu na kumshukuru kwa yote atendayo kwetu.....!
PRINCE NAAHJUM ALSINA
PRINCE NAAHJUM ALSINA