Asubuhi hatuogi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,095
Reaction score
828,898
Kuoga huwa ni jioni umeshinda kazini au kwenye mizunguko ya kila siku, vumbi mambo na takataka nyingine zote zimegandamana mwilini mwako
Jioni ndio huwa Wakati muafaka wa kupata muda wa kutosha kuuswafi mwili ili uondoe jasho vumbi na uchafu wowote wa mchana kutwa ili ulale njema
Asubuhi ni kujimwagia tu maji kutoa uchovu na mavune ya usiku lakini si kutoa uchafu, unaoga nususaa nzima asubuhi kwani usiku ulikuwa unafanya nini???
 
kwani hujui shuhuli za usiku weye

Shughuli za usiku shansarie sio para tu , kama udhaniavyo wewe!
Mayero (Masai) almost shughuli hufanya usiku , Mapongo usiku , Viwandani etcetera !
Au kiwewewewe neno "Shughuli" lina maana ipi ?
 
Last edited by a moderator:
Shughuli za usiku shansarie sio para tu , kama udhaniavyo wewe!
Mayero (Masai) almost shughuli hufanya usiku , Mapongo usiku , Viwandani etcetera !
Au kiwewewewe neno "Shughuli" lina maana ipi ?

kama uwazavyo wewe ulinzi unesu udaktari viwandani hata wauza chipsi wengine usiku kucha wapo kazini kama pale k'ndoni american chips usiku kucha wapo macho sasa asubui utawauliza kwann wanaoga
 
Ila watu wengine wanapenda kuoga jamani! Khhaaaa.

Mtu unaoga kutwa mara 5, vyerejeee?
 
Duuuuu!mi naoga mara tatu kwa siku na zote najiswafi ile ya uhakika,kujimwagia maji tu labda wanaume kwa mtt wa kike hyo hamna
 
Mh mimi naoga kutwa mara 2 haijalish nilikua nafanya nini usiku.nazote najiswafi hasaa ila sinaga tabia ya kukesha bafun
 
vigumu kuamini lakini mida hii nyumba ya jirani kuna watu wapo bafuni sijui kama wanaoga au wanajimwagia au wana la ziada
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…