kuna majukwaa tofauti tofauti kuna mawazo tofauti tofauti Alafu ukizungumzia wakongwe unamaanisha nini?au unaangalia Id za kujoin jf wengi tupo humu kitambo kuliko unavyodhani mi nimekuwa mwanachama sababu tu wamelazimisha watu wawe wanachama msijifanye mnaijua sana jf kuliko Max melo.Wewe umesema ila wakongwe wote wanaelewa Mada za 2010 zilikua zipi
Mkuu ni kwel kuna sehem huwez kuingia ukiwa nje ya mwili ? Wewe umeshajarbu kwenda nchi zipi ama mahal ganiHuwa napractice sana hii kitu
Ukiachana na hiyo kuna lucid dream hii nayo ni balaa
Dogo unaogopa kufa...we utakua fukara tafuta hela uwe na pesa nyingi ili usiogope kufa..pita hivi
Kitambo gani wewe dogokuna majukwaa tofauti tofauti kuna mawazo tofauti tofauti Alafu ukizungumzia wakongwe unamaanisha nini?au unaangalia Id za kujoin jf wengi tupo humu kitambo kuliko unavyodhani mi nimekuwa mwanachama sababu tu wamelazimisha watu wawe wanachama msijifanye mnaijua sana jf kuliko Max melo.
Huko sio kuzimuHakuna aliyeniambia mkuu
Mimi naongelea experience yangu .
Nipo bhana majukumu tu tumepotezana.Waalaykum Salam warahmatullah wabarakatuh, uko poa, kitqmbo sana
Ulichoandika wewe ni kama tafsiri ya nilichoandika hapo juu..Hapana mkuu nipo vizuri sana na weza hadi kuingia kwenye mwili wa mtu mwingine na kumcontrol
Una majini hakuna kingine hapoi wish niweze kucontrol hunitokea mostly nikilala hua najikuta natembea miji ya ajabu nisiowah kuiona
Umeingiw na majini tayari sasa kaa mkao wa Mchakamchaka gwaride limeanzaNilichokiona cha kwanza cha ajabu ni mwili wangu ukiwa umelala pale kitandani
Hujamuelewa tu..Kitambo gani wewe dogo
Umejiunga 2024..
Heshimu wakubwa zako.kumbavu.
hivi huu utumbo nani anawafundisha😄Mkuu ni kwel kuna sehem huwez kuingia ukiwa nje ya mwili ? Wewe umeshajarbu kwenda nchi zipi ama mahal gani
Umeshawahi kuota ndoto?Umeingiw na majini tayari sasa kaa mkao wa Mchakamchaka gwaride limeanza
Noma sana kipindi hiko unaweza jikuta umekua mlozi na atheist kabisa afu ukitaka kupumzika unaenda kwa @lara1 sijui yuko wapi siku hizienzi za rakims na mshana jr🤣
Naam maisha yanatupeleka race sanaNipo bhana majukumu tu tumepotezana.
Na wewe uwe unapita vile mduanzipita hivi
Ndio nimewahiUmeshawahi kuota ndoto?
Na kweli, ukipata muda utakuja kule inshaallah.Naam maisha yanatupeleka race sana