KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,752 Reaction score 86,393 Nov 14, 2024 #41 Mama Mwana said: unililie mimi na hujawahi kuniona? huu sio uzima Click to expand... nakupenda ila naona aibu kukuambia kwasababu wewe ni likorofi sana!
Mama Mwana said: unililie mimi na hujawahi kuniona? huu sio uzima Click to expand... nakupenda ila naona aibu kukuambia kwasababu wewe ni likorofi sana!
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Nov 14, 2024 Thread starter #42 KENZY said: wewe ni tapeli tu.. ukibisha nifate na hiyo Astral yako, mnakaa mnadanganyana tu!.😂 Click to expand... Hapo ndio unaposhindiwa unazani haya ni mashindano
KENZY said: wewe ni tapeli tu.. ukibisha nifate na hiyo Astral yako, mnakaa mnadanganyana tu!.😂 Click to expand... Hapo ndio unaposhindiwa unazani haya ni mashindano
Sorcerer JF-Expert Member Joined Jun 21, 2017 Posts 1,694 Reaction score 2,482 Nov 14, 2024 #43 Utajua wewe said: Wewe mimi sipo hapa kudanganya ili inisaidie nini? Click to expand... jaribu kushare uzoefu.... hapa kuna wazoefu wa hizo mambo
Utajua wewe said: Wewe mimi sipo hapa kudanganya ili inisaidie nini? Click to expand... jaribu kushare uzoefu.... hapa kuna wazoefu wa hizo mambo
Mama Mwana JF-Expert Member Joined Jun 6, 2023 Posts 2,510 Reaction score 8,006 Nov 14, 2024 #44 KENZY said: nakupenda ila naona aibu kukuambia kwasababu wewe ni likorofi sana! Click to expand... yani unapenda mwandiko? picha ya kuokoteza? unachopenda ww ni kitu gani na wakati hunijui? ukute mimi ni jini
KENZY said: nakupenda ila naona aibu kukuambia kwasababu wewe ni likorofi sana! Click to expand... yani unapenda mwandiko? picha ya kuokoteza? unachopenda ww ni kitu gani na wakati hunijui? ukute mimi ni jini
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 8,382 Reaction score 10,455 Nov 14, 2024 #45 Kama unataka kujifunza mcheki huyu mwamba Rakims
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,752 Reaction score 86,393 Nov 14, 2024 #46 Utajua wewe said: Hapo ndio unaposhindiwa unazani haya ni mashindano Click to expand... wewe ni tapeli tu!😂
Utajua wewe said: Hapo ndio unaposhindiwa unazani haya ni mashindano Click to expand... wewe ni tapeli tu!😂
Mama Mwana JF-Expert Member Joined Jun 6, 2023 Posts 2,510 Reaction score 8,006 Nov 14, 2024 #47 Cha asubuhi said: jaribu kushare uzoefu.... hapa kuna wazoefu wa hizo mambo Click to expand... share bas tuone watu mnajua mnatubania ujuzi
Cha asubuhi said: jaribu kushare uzoefu.... hapa kuna wazoefu wa hizo mambo Click to expand... share bas tuone watu mnajua mnatubania ujuzi
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Nov 14, 2024 Thread starter #48 KENZY said: wewe ni tapeli tu!😂 Click to expand... Pouwa ila usiwanyime wengine kujifunza
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,752 Reaction score 86,393 Nov 14, 2024 #49 Mama Mwana said: yani unapenda mwandiko? picha ya kuokoteza? unachopenda ww ni kitu gani na wakati hunijui? ukute mimi ni jini Click to expand... upendo huwa hautaki maswali sana ngumu kuelezea! jua nakupenda nahitaji uwe wangu nikuoe tuzae tulee watoto, tule raha
Mama Mwana said: yani unapenda mwandiko? picha ya kuokoteza? unachopenda ww ni kitu gani na wakati hunijui? ukute mimi ni jini Click to expand... upendo huwa hautaki maswali sana ngumu kuelezea! jua nakupenda nahitaji uwe wangu nikuoe tuzae tulee watoto, tule raha
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Nov 14, 2024 Thread starter #50 Squidward said: Kama unataka kujifunza mcheki huyu mwamba Rakims Click to expand... Nimeweza kwa kufuata vile jamaa alivyoandika
Squidward said: Kama unataka kujifunza mcheki huyu mwamba Rakims Click to expand... Nimeweza kwa kufuata vile jamaa alivyoandika
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,752 Reaction score 86,393 Nov 14, 2024 #51 Utajua wewe said: Pouwa ila usiwanyime wengine kujifunza Click to expand... sijamshika mtu masikio hapa mimi nadili na tapeli..😂
Utajua wewe said: Pouwa ila usiwanyime wengine kujifunza Click to expand... sijamshika mtu masikio hapa mimi nadili na tapeli..😂
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Nov 14, 2024 Thread starter #52 KENZY said: sijamshika mtu masikio hapa mimi nadili na tapeli..😂 Click to expand... Pouwa
Mama Mwana JF-Expert Member Joined Jun 6, 2023 Posts 2,510 Reaction score 8,006 Nov 14, 2024 #53 KENZY said: upendo huwa hautaki maswali sana ngumu kuelezea! jua nakupenda nahitaji uwe wangu nikuoe tuzae tulee watoto, tule raha Click to expand... labda tuoane jf lakini nyuma ya keyboard mbona kuna mwanaume amekuwahi
KENZY said: upendo huwa hautaki maswali sana ngumu kuelezea! jua nakupenda nahitaji uwe wangu nikuoe tuzae tulee watoto, tule raha Click to expand... labda tuoane jf lakini nyuma ya keyboard mbona kuna mwanaume amekuwahi
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,752 Reaction score 86,393 Nov 14, 2024 #54 Utajua wewe said: Pouwa Click to expand... utajua wewe..😅
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,752 Reaction score 86,393 Nov 14, 2024 #55 Mama Mwana said: labda tuoane jf lakini nyuma ya keyboard mbona kuna mwanaume amekuwahi Click to expand... mi sitaki kujua kuhusu yeye mi nakupenda wewe.. haya mrembo leta maneno
Mama Mwana said: labda tuoane jf lakini nyuma ya keyboard mbona kuna mwanaume amekuwahi Click to expand... mi sitaki kujua kuhusu yeye mi nakupenda wewe.. haya mrembo leta maneno
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Nov 14, 2024 Thread starter #56 Kwanza kabisa sipendi mtu ajaribu maana ni hatari kwa mwanadamu
Mama Mwana JF-Expert Member Joined Jun 6, 2023 Posts 2,510 Reaction score 8,006 Nov 14, 2024 #57 KENZY said: mi sitaki kujua kuhusu yeye mi nakupenda wewe.. haya mrembo leta maneno Click to expand... acha bwana, ngojs nikutumie namba ya kutuma hela usisahau na ya kutolea
KENZY said: mi sitaki kujua kuhusu yeye mi nakupenda wewe.. haya mrembo leta maneno Click to expand... acha bwana, ngojs nikutumie namba ya kutuma hela usisahau na ya kutolea
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 11,917 Reaction score 36,807 Nov 14, 2024 #58 KENZY said: mi sitaki kujua kuhusu yeye mi nakupenda wewe.. haya mrembo leta maneno Click to expand... ungetakiwa umwambie unampenda yeye na bwana ake😃 ungekuwa umemaliza mchezo.
KENZY said: mi sitaki kujua kuhusu yeye mi nakupenda wewe.. haya mrembo leta maneno Click to expand... ungetakiwa umwambie unampenda yeye na bwana ake😃 ungekuwa umemaliza mchezo.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,752 Reaction score 86,393 Nov 14, 2024 #59 Mama Mwana said: acha bwana, ngojs nikutumie namba ya kutuma hela usisahau na ya kutolea Click to expand... nitumie address yako ya bitcoin nikutumie huko sina cash mchumba!
Mama Mwana said: acha bwana, ngojs nikutumie namba ya kutuma hela usisahau na ya kutolea Click to expand... nitumie address yako ya bitcoin nikutumie huko sina cash mchumba!
Sorcerer JF-Expert Member Joined Jun 21, 2017 Posts 1,694 Reaction score 2,482 Nov 14, 2024 #60 Utajua wewe said: Nimeweza kwa kufuata vile jamaa alivyoandika Click to expand... we jamaa ni mswahili umeshindwa hata kuelezea mazingira jinsi yalivyokua japo kwa uchache ili watu wajue uliamkia kwenye dimension ipi... hakuna maana ya wewe kuanzisha Uzi.
Utajua wewe said: Nimeweza kwa kufuata vile jamaa alivyoandika Click to expand... we jamaa ni mswahili umeshindwa hata kuelezea mazingira jinsi yalivyokua japo kwa uchache ili watu wajue uliamkia kwenye dimension ipi... hakuna maana ya wewe kuanzisha Uzi.