Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 85,906 Reaction score 146,047 Feb 22, 2020 #201 S 1- V 0 Villa wanacheza hawa. Sent using Jamii Forums mobile app
Keyboard_Warrior JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 6,106 Reaction score 10,473 Feb 22, 2020 #202 Unamsajili Samatta ili usishuke daraja, Samatta mwenyewe anarukaruka tu uwanjani. Championship inawahusu hawa Aston Villa.
Unamsajili Samatta ili usishuke daraja, Samatta mwenyewe anarukaruka tu uwanjani. Championship inawahusu hawa Aston Villa.
Camilo_Cienfuegos JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 11,378 Reaction score 15,385 Feb 22, 2020 #203 Ameenda kuishusha daraja
SPINE JF-Expert Member Joined Dec 11, 2017 Posts 1,070 Reaction score 1,153 Feb 22, 2020 #204 George Betram said: Unamsajili Samatta ili usishuke daraja, Samatta mwenyewe anarukaruka tu uwanjani. Championship inawahusu hawa Aston Villa. Click to expand... Mkuu pia ukiangalia utaona hapati mipira, hakuna mpikaji mipira kwa strikers.
George Betram said: Unamsajili Samatta ili usishuke daraja, Samatta mwenyewe anarukaruka tu uwanjani. Championship inawahusu hawa Aston Villa. Click to expand... Mkuu pia ukiangalia utaona hapati mipira, hakuna mpikaji mipira kwa strikers.
Keyboard_Warrior JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 6,106 Reaction score 10,473 Feb 22, 2020 #205 SPINE said: Mkuu pia ukiangalia utaona hapati mipira, hakuna mpikaji mipira kwa strikers. Click to expand... Aendelee kuisubiria tu hiyo mipira, ataipata mingi sana akiwa benchi.
SPINE said: Mkuu pia ukiangalia utaona hapati mipira, hakuna mpikaji mipira kwa strikers. Click to expand... Aendelee kuisubiria tu hiyo mipira, ataipata mingi sana akiwa benchi.
SPINE JF-Expert Member Joined Dec 11, 2017 Posts 1,070 Reaction score 1,153 Feb 22, 2020 #206 George Betram said: Aendelee kuisubiria tu hiyo mipira, ataipata mingi sana akiwa benchi. Click to expand... πππππ
George Betram said: Aendelee kuisubiria tu hiyo mipira, ataipata mingi sana akiwa benchi. Click to expand... πππππ
Rusumo one JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 3,537 Reaction score 4,435 Feb 22, 2020 #207 Ngapi ngapi hukooo?
Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 17,817 Reaction score 24,468 Feb 22, 2020 #208 Aston Villa njiani kwenda kule kunakohusika; dah mdogo wangu Samatta anatakiwa afanye kazi ya ziada kusevu jahazi. Goli la pili lilikuwa la kijinga kweli kweli kweli; Samatta hakudumu sana uwanjani leo?.
Aston Villa njiani kwenda kule kunakohusika; dah mdogo wangu Samatta anatakiwa afanye kazi ya ziada kusevu jahazi. Goli la pili lilikuwa la kijinga kweli kweli kweli; Samatta hakudumu sana uwanjani leo?.
Goodluck Mchika JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 1,228 Reaction score 1,143 Feb 23, 2020 #209 Kichuguu said: Aston Villa njiani kwenda kule kunakohusika; dah mdogo wangu Samatta anatakiwa afanye kazi ya ziada kusevu jahazi. Goli la pili lilikuwa la kijinga kweli kweli kweli; Samatta hakudumu sana uwanjani leo?. View attachment 1366704 Click to expand... Game huangalii unakuja kuhitimisha hovyo samatta too much atapigea benchi tu kwani yeye nani game ilikuwa ngumu ile
Kichuguu said: Aston Villa njiani kwenda kule kunakohusika; dah mdogo wangu Samatta anatakiwa afanye kazi ya ziada kusevu jahazi. Goli la pili lilikuwa la kijinga kweli kweli kweli; Samatta hakudumu sana uwanjani leo?. View attachment 1366704 Click to expand... Game huangalii unakuja kuhitimisha hovyo samatta too much atapigea benchi tu kwani yeye nani game ilikuwa ngumu ile
kajamaa kadogo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2018 Posts 2,714 Reaction score 6,490 Feb 23, 2020 #210 Sasa wale mashabiki waliokuwa wanatukana klabu ya aston villa na wachezaji wake then hawana mchango wowote na klabu naona muda wao wa kurudi klabu zao za Arsenal na yanga simba umewadia Championship loading..........
Sasa wale mashabiki waliokuwa wanatukana klabu ya aston villa na wachezaji wake then hawana mchango wowote na klabu naona muda wao wa kurudi klabu zao za Arsenal na yanga simba umewadia Championship loading..........
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,569 Reaction score 12,208 Feb 23, 2020 #211 Samatta aongeze bidii kuiokoa timu,na kujenga rekodi nzuri ya ufungaji mabao.
M Maisha001 Member Joined Nov 13, 2019 Posts 77 Reaction score 43 Feb 24, 2020 #212 SPINE said: Midfielder yao mbovu kabisa Click to expand... Yah hata beki pia haijakaa vema,wanaruhusu kushambuliwa,wanafanya makosa ya hovyo hovyo
SPINE said: Midfielder yao mbovu kabisa Click to expand... Yah hata beki pia haijakaa vema,wanaruhusu kushambuliwa,wanafanya makosa ya hovyo hovyo
davie dee JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 934 Reaction score 1,214 Feb 24, 2020 #213 Naamini kama villa wakishuka daraja samata atatolewa kwa mkopo