MjiniShule
Member
- Jul 27, 2012
- 11
- 1
To be posted soon
Email yao yenyewe etini ni Gmail ....... Ha ha ha ha haaaaa wajinga ndiyo waliwaoPambafyu.... global tourism company haina jina, website wala contact info ? Tourism ya ku organize party na escort...?? Angalieni hawa ndo mtajikuta mnalishwa sembe na kupangiwa kucheza bluzi na mijibwa !!
Kuna haja ya mods kuwa wanahoji wanaoleta news kama hizi kwa sababu kuna vijana wengi wenye elimu ya mulugo ambao wakiona hizi wanaingia kichwa kichwa na maumivu wanayoyapata hawawezi kuja humu kulalamika !!
Plz msifanye JF sasa liwe kama gazeti za sani, yaani hii ni kama kampuni ya lodilofa !!:A S 13: