Chapdesigns TZ
Member
- Apr 27, 2020
- 28
- 29
TUNATAFUTA STUDIO ASSISTANT KIJANA
- Awe anajua kupiga picha au ana idea pamoja na deep interest ktk photography.
- Awe tayari kujifunza, pamoja na kushea kile anachokijua
- uwezo wa kushoot video ni added advantage
AGE: 18-25
Location: DSM
studio ipo Kinondoni, so kama atakua karibu itapendeza zaidi,
- UAMINIFU, FOCUS NA DEDICATION ni muhimu
NiPM nikupe contact zangu
SOON TUNAANZA KAZI
#share na mtu unayeona fursa hii inamfaa