Kwa sasa hii ni mara ya tatu ya mzigo wangu kutoka nje kupotea posta kwa hali tatanishi. Nilianza kutumia posta miaka kama minne iliyopita na mizigo haikuwahi kupotea. Ila kama miezi minane iliyopita kuna mambo very strange happening. Niliwahi kusikia watu kupoteza mizigo ambayo haina tracking number, ila hii style mpya wanaiba pia mizigo yenye tracking number. Nimeshapoteza mmoja toka UK na miwili toka USA. Ukifuata tracking number unaona jinsa ilivyopita kule kwa wenzetu hadi ikatoka nchini hata post office and date stamp you can see clearly. But once out of those countries the package disappears.
Kufuatilia customer service ni upotevu mkubwa wa muda.Utatumwa kwenye kila idara zote chini ya jua. mara nenda huku... nenda kule... nenda pale. Na hata siku moja hawakuruhusihi kuongea na wakubwa husika!
I hope kuna mtu atakayeweza kunisaidia na channel nitakayoweza kupitia ili haya maswala yaangaliwe kwa ndani. This has become too much. Kama ni hivi ndo wonder watu wanakimbilia mashirika ya kigeni kama DHL na UPS. Mimi hujaribu sana kutumia indigenous goods and services lakini hii inakatisha tamaa!
Wadau, PLEASE ASSIST!
hamia dhl achana na posta utaishia kupata brain konkasheni tu huko
LOL! At least though umenichekesha! Laughter is the best medicine :smile-big:
Kwa sasa hii ni mara ya tatu ya mzigo wangu kutoka nje kupotea posta kwa hali tatanishi. Nilianza kutumia posta miaka kama minne iliyopita na mizigo haikuwahi kupotea. Ila kama miezi minane iliyopita kuna mambo very strange happening. Niliwahi kusikia watu kupoteza mizigo ambayo haina tracking number, ila hii style mpya wanaiba pia mizigo yenye tracking number. Nimeshapoteza mmoja toka UK na miwili toka USA. Ukifuata tracking number unaona jinsa ilivyopita kule kwa wenzetu hadi ikatoka nchini hata post office and date stamp you can see clearly. But once out of those countries the package disappears.
Kufuatilia customer service ni upotevu mkubwa wa muda.Utatumwa kwenye kila idara zote chini ya jua. mara nenda huku... nenda kule... nenda pale. Na hata siku moja hawakuruhusihi kuongea na wakubwa husika!
I hope kuna mtu atakayeweza kunisaidia na channel nitakayoweza kupitia ili haya maswala yaangaliwe kwa ndani. This has become too much. Kama ni hivi ndo wonder watu wanakimbilia mashirika ya kigeni kama DHL na UPS. Mimi hujaribu sana kutumia indigenous goods and services lakini hii inakatisha tamaa!
Wadau, PLEASE ASSIST!
pole sana hamia ARAMEX wapo opposite shoprite ya kamata mimi DHL naona kama cost zao ni kubwa kidogo
LOL = Lucifer Our Lord!........ Be careful!
Tangu haya mambo ya Freemason yashike kazi basi imeshakuwa tabu, mara eti NOKIA maana yake no god !Duh!!
Ni kweli mtu kaomba msaada wanamkejeri kama hawawezi kumsaidia bora wanyamaze tatizo kubwa ni sisi wenyewe tunaona uvivu kufatilia hadi mwisho njia nyingine ni kuripoti kwenye vyombo vya habari hakuna mtu anayependa kuchafuliwa jina lakeWabongo bwana yeye kaomba msaada nini afanye kwa sasa, naona longo longo nyiiingi.
Kwanza chukua vielelezo vyako nenda manager customer care Makao makuu.
Muelezee usumbufu ulikwisha pata.
Pakikuzingua taratibu mwambie ukuelekeze kwa mti mwingine ambaye ni senior kwakwe
ikishindikana nenda kwa secretary wa mkurugenzi mkuu, mweleze hatua zote ulizopitia.
Mimi nina historia TANESCO Baada ya kunizungusha walikiona na sikuwa namfahamu mtu yeyote.
MZIGO NI HAKI YAKO NA UMELIPIA HUDUMA YAO NI LAZIMA WAKUPE AMA WAKULIPE KAMA UMEPOTEA
Ni kweli mtu kaomba msaada wanamkejeri kama hawawezi kumsaidia bora wanyamaze tatizo kubwa ni sisi wenyewe tunaona uvivu kufatilia hadi mwisho njia nyingine ni kuripoti kwenye vyombo vya habari hakuna mtu anayependa kuchafuliwa jina lake
Mkuu hapo NOKIA hem say it loudly sijasikia vizuri.
Ni kweli vyombo vya habari ni last optionhii ya Vyombo vya habari huwa naiita last option. Baada ya kuonana na wakuu wakishindwa ndio uende kwenye vyombo vya habari kwa lengo la kuuambia umma watu wameshindwa kazi na na shirika haliaminiki tena.
regards