Assist my daughter to be employed

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
40,593
52,286
Wana bodi,

Salamu sana.

My daughter hana kazi, alikuwa anafanya na hao waswahili, hivyo mkataba wake umeisha.

Amesoma logistics and transport management na sasa ana masta human resources kwa vile ndo kazi alifanya kwa miaka kama mitatu before her contract ends.

Ukiongea naye anasema anatamani kufanya mashirika ya kimataifa.

Hapa JF najua mpo wenye nafasi mbalimbali around the world.

Assist her please.

Asanteni.

Samahani kwa kuchanganya lugha.
 
Suala la ajira kwa sasa pasua kichwa sana. Ni kumuomba pia Mungu amuongoze hasa kwa hawa mabinti ndo wanapitia nyakati ngumu sana katika kutafuta ajira. Anaweza jitokeza mtu akamsaidia lakini mwisho wa siku akamuomba rushwa ya ngono.
 
Nadhani wewe ni mtumishi wa umma, serikali imetangaza ongezeko la mshahara.
Mwezi wa Saba mshahara mpya ukitoka, kakope NMB au CRDB kitu ten to fifteen M. Mpe mwanao afungue salon ya kike au duka la vipodozi.
Tafuta frem Kati ya Kimara mpaka hata Kwamathias ili asisumbuke usafiri.
Nadhani Ana damu ya Mndenyi kwa upande wa mama, atakua
makini kwenye biashara, hatakuangushaa.
Thank me later.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom