Assessment of water leakages

Assessment of water leakages

cjona

Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
65
Reaction score
60
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Naitaji kujua zaidi kuhusu iyo kitu how could i do and if anyone knows about " assessment of water leakages in water supply infrastructures" in details..
 
Ikiwa imechimbiwa,na hakuna majani,angalia ubichi,kwenye majani utaona mabichi sana na yamestawi,ukutani,ukuta utaloa,,kama Maji yanapresha utasikia sauti ya Maji,Kama Kuna meter,fungal outlet zote rudi soma meter kiendelea kuzunguka Kuna leakage mbele fuata process nilizokuambia,ndio level yangu kwa swali lako,napita tu
 
Hahaha
 
Unaweka bulk meters kwenye main line na kwenye matanki. Hii itakupa leakage kwenye eneo husika. Aidha unaweka meter ndogo kwenye outlets zote. Hapo kwa majumuisho ya meters utapata leakage kwa maeneo husika.
 
Ohoo!! Shukran mkuu kwa maelezo.
 
Back
Top Bottom