Assah Mwambene ( Maelezo) vs Salva/Premi (Ikulu)

thread critic

Member
Jul 17, 2012
71
14
Hivi coordination ya information toka serikali ya nchi hii ikoje?

Assah Mwambene kazi yake ni nini hasa na inaishia wapi?

Je role yake inaingialiana na ya wale wanaotoa taarifa pale magogoni kupitia michuzi blog ?

Je msemaji mkuu wa serikali ya Tanzania ni nani? na lini kazi yake ilitangazwa?

mimi niko so confused hata sijui nani anafanya nini kati ya ASSAH MWAMBENE aliyekuwa foreign sasa ndiye bosi wa maelezo (ambako najua hawana hata budget ya website wala press room yenye hadhi ya kueleweka) na akina SALVA kule Ikulu, na waziri wa information ambaye technically ni chief propagandist wetu.

Je wanafanya weekly press conferences na media zote au just selected few? Coordination zikoje huko serikalini maana inaonekana mpaka mawaziri wetu hawajui policies zao. Mwingine hajui muungano ulitokana na nini mwingine hatuelezi kwa nini wanajeshi wako mitaani badala ya FFU na mwingine hajui idadi ya watumia internet Tanzania.
 
  • Mimi ninachokijua ni kwamba Mwambene ndiye msemaji wa Serikali ya Tanzania na ndiye coordinator wa Vitengo vya Mawasiliano Serikalini pamoja na Wasemaji wa Wizara na Taasisi za Umma. Mhe. Rweyemamu anahusika na Taarifa za Rais kwa hiyo sioni confusion yoyote. Mala nyingi nimemskia Mwambene BBC na vyombo vya habari akiwa :lie:quoted kama msemaji wa Serikali. Sijui huo mkanganyiko unatoka wapi.
 
Mkurugenzi wa habari maelezo!anatakiwa awe well informed ili kujibu hoja zote zinazohusu serikali!
 
Back
Top Bottom