Assad vs Ndugai au Uadilifu vs Kupuuzia maadili?

ZZK Ruyagwa,
Good job and well done.
Hakika uko juu na Mungu anakuona na atakutetea. Najua kuna mijitu ya CCM pamoja na Mwenyeiti wao hawatakubaliana na barua yako hii kwenda kwa Katibu Mkuu wa Jumuia ya Madola. Najua kesho huyu jamaa anayetaka kusababisha MUSIBA kwa Taifa kama lilivo jina lake atakuja na vijigazeti vyzke vya Umbeya akidai UNATUMIKA NA MABEBERU(kwangu ni mabeberu ya mbuzi) na Jiwe atakaa pembeni anashangilia kwa vile hata yeye hazimtoshi.

Angalia ni Rais mwenye busara hili jambo halikuhitaji mujadala wa namna yoyote ile. Kilichotakiwa ni Magufuli kuwmita Ndugai na Prof. Asad na kumaliza huu upuuzi wa Ndugai kwa KARIPIO na KEMEO KALI KABISA.

Kwa kitendo hichi cha kipuuzi cha Spika Job Ndugai sasa ni wakti mwafaka kwa WABUNGE WOTE wa Bunge la JMT kumwajibisha Job Ndugai kwa KUMPIGIA KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NAYE....Ndugai hafai,hafai na hafai...hafikii hata robo ya uwezo wa Anne Makinda ingawa hata yeye hakuwa bora...CCM kweli ni janga kwa Watz. Lazima watu waombe sana ili yatokee yaliyotokea huko DR Congo kwa Chama Tawala kuvuliwa nguo mchana kweupe,,,,,!!!
i
 
Anaunga unga vitu visivyoeleweka. Hasemi kitu chenye mashiko anaishia kupiga ramli chonganishi.
..ila unayemwamini ni yule anayesema Saddam alikuwa rais wa Kuwait au sukari ilikuwa sh elf 5 au makinikia ambayo bado hadi leo yanaozea bandarini yana dhahabu ya kujaza pick up nzima?

onyesha uongo kwenye alichokiandika Chahali.....

yaani nchi hii watu ni kama mmerogwa!
 
Hizi sifa zenu Watanzania zimenichosha, weka hapa alichofanya, niwekee records zake siyo kusifiana tu kama mnavyomsifu Tundu Lisu au sijui Zito Kabwe lkn hakuna popote pale ninapoweza kusoma archievements zao zaidi ya blah blah tu, hivyo niwekee hapa alichofanya Asad kitaaluma kustahili sifa zote hizi.

Kwa kawaida haiwezi kuwa ngumu kama ni kweli Mtaalamu bingwa wa Uhasibu kama mnavyojaribu kutuaminisha.
Wonders shall never end.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini mkuu hapa sioni kwanini wewe unaona dini ya CAG imeshambuliwa, wote tunafahamu ni muislam lakini akifanya kosa sioni kwanini akisemwa useme imesemwa dini. Mbona akifanya mazuri anaposifiwa husemi imesifiwa dini. Hata kwenye cheo chake hakuna uislamu wake anaitwa CAG, hata kwenye taaluma yake anaitwa Prof.Assad hakuna dini, sioni wapi hizo nyumba alizotuhumiwa nazo zinahusika na dini yake. Kwanini unadhani dini yake inashambuliwa Mkuu.
Mimi nina imani ya mungu kidini au kidhehebu pia lakini nikifanya makosa dhehebu langu haliguswi bali mimi.
Tunge acha haya mambo ya hisia tukajadili hoja vizuri mkuu. Unaweza kumtetwa Prof.Assad bila kuhusisha dini yake.

Assad kaambiwa alipewa Nyumba Za NSSF Na Dau kwa mlengo wa kidini ? Au hujasoma hizo tuhuma Au unajisahaulisha kinafiki?
 
Hizi sifa zenu Watanzania zimenichosha, weka hapa alichofanya, niwekee records zake siyo kusifiana tu kama mnavyomsifu Tundu Lisu au sijui Zito Kabwe lkn hakuna popote pale ninapoweza kusoma archievements zao zaidi ya blah blah tu, hivyo niwekee hapa alichofanya Asad kitaaluma kustahili sifa zote hizi.

Kwa kawaida haiwezi kuwa ngumu kama ni kweli Mtaalamu bingwa wa Uhasibu kama mnavyojaribu kutuaminisha.
Mtu huwaza kutokana na anavyoona,huo ndo ukomo wa uono wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi sifa zenu Watanzania zimenichosha, weka hapa alichofanya, niwekee records zake siyo kusifiana tu kama mnavyomsifu Tundu Lisu au sijui Zito Kabwe lkn hakuna popote pale ninapoweza kusoma archievements zao zaidi ya blah blah tu, hivyo niwekee hapa alichofanya Asad kitaaluma kustahili sifa zote hizi.

Kwa kawaida haiwezi kuwa ngumu kama ni kweli Mtaalamu bingwa wa Uhasibu kama mnavyojaribu kutuaminisha.

Kagundua ubadhirifu wa 1.5 trillion serikalini.
 
Hahaha kwako ndoa ndio kipimo cha uadilifu?! Unataka kusema ambao hawajaoa sio waadilifu?! Na unataka kusema ambao hawaja funga ndo wasipewe uongozi maana hatujui kama ni waadilufu au la, vipi wale ambao hawaoi au kuolewa kabisa kwa utashi binafsi au imani za dini zao kama mapadri, kardinali na papa, unadhani uadilufu wao kwenye nafasi zao ni wamashaka?! Mi nadhani maisha ya mtu ya ndoa yasiwe kipimo. Mwanandoa mmoja anaweza akawa mkorofi hili haliwafanyi wote wakawa wabaya, utiifu kwenye ndoa ni namna ya hizo personality mbili zimeamua kuishi. Machafuko kwenye ndoa hayana uhusiano na uongozi au namna mtu anaongoza. Mbona Mandela anasifiwa dunia nzima kuwa kiongizi mzuri, ndoa yake ilikuwa na matatizo. Hata baba wataifa letu Tanzania anasifiwa naye amewahi kuwa na mifarakano kwenye ndoa. Jokate hajaolewa lakini sijaona kaharibu nini mpaka sasa.
Huo unaita ukweli mtupu nadhani kuna haja uuangalie tena.

Haujaelewa au hautaki kuelewa.
 
Namfahamu vema Profesa Assad. Nilianza kusikia jina lake mwanzoni mwa miaka ya 1990s nilipokuwa Tanga kama mwalimu wa sekondari ya Eckenforde. Walimu wenzangu wawili - wote kwa sasa ni miongoni mwa wahasibu wabobezi - walikuwa wanafunzi wa Profesa Assad enzi hizo akiwa Dokta tu. Kwa mujibu wa maelezo yao, msomi huyo alikuwa kama mpishi wa wahasibu, na pengine tu hatuna utamaduni wa kuenzi mchango ya watu waliofanyia makubwa Taifa letu ndo maana mchango wa Prof Assad katika taaluma ya uhasibu hausikiki sana.

Lakini licha ya umahiri wake kitaaluma, Prof Assad ni mcha Mungu kweli kweli. Na hili in some way limemtemgenezea maadui kitambo. Mie ni Mkristo. Mkatoliki. Lakini pia ni mwanafunzi wa zamani wa Sosholojia ya Dini ambayo nilifundishwa na Dr Father John Sivalon, msomi ambaye thesis yake ya PhD inaeleza kwa undani kuhusu mahusiano ya dola na Kanisa, na kwa namna flani kutanabaisha "ubaguzi dhidi ya Waislamu."

Kadhalika, kuna "tafiti endelevu" ninayoifanya kuhusu mahusiano kati ya Dola na Waislamu Tanzania, na kuna findings zisizopendeza kuhusu Tanzania yetu. Hatupaswi kuyasema haya hadharani lakini ukiwa Muislam msomi kisha mcha Mungu, highly likely kutaambatana na label ya "mujahidina." Ni ubaguzi wa kidini usiozungumzwa hadharani kwa sababu sie ni wanafiki wazuri ambao, kwa mfano, hadharani twakemea ushoga ilhali mitandaoni mashoga wanaongoza kwa idadi ya followers (implying tunachosema hadharani sio tunachotenda faraghani).

Unafiki wetu unachangia sana kuzima mijadala ambayo siku ikilipuka inaweza kuwa na athari kubwa kwa mustakabali wa Taifa letu. Mijadala kama nafasi ya Uadilifu katika medani ya uongozi. It is this simple: kiongozi asiye mwadilifu kwa mkewe hawezi kuwa mwadilifu kwa taifa. Na kiongozi asiyeheshimu ndoa ya mteuliwa wake, hawezi kuheshimu haki za anaowaongoza. This is neither rocket science nor brain surgery.

Unafiki wetu unatuziba mdogo kuongelea ubaguzi wa kidini. Unafiki wetu unatuziba mdogo kuongelea wimbi hatari la ukanda na ukabila linalozidi kuchipuka tangu Jiwe ashike madaraka. Tunasubiri litokee la kutokea ndio tuanze mijadala ya kinafiki.

Na ni uadilifu na kinyume chake ndio hasa msingi wa hili sakata la Prof Assad vs Ndugai. Hawa ni watu wawili walio katika mizani tofauti kabisa. Wasifu wa Assad upo wazi kwa kila mmoja wetu kuufahamu. Mwanataaluma hiyo ni role model kwa Mtanzania yeyote yule, iwe kitaaluma au kiroho. Ikumbukwe kuwa sio rahisi sana kuwa "msomi sana" kisha "mshika dini sana" kwa sababu unfortunately usomi umeelemea katika facts ilhali dini imeelemea katika imani. So, kudos kwa msomi yeyote yule ambaye pia ni mcha Mungu, takes a lot of courage ku-negotiate usomi na dini.

Kwa Ndugai ni polar opposite ya Prof Assad. Nayajua maisha yake binafsi lakini hapa si mahala pale kuyaongelea. However, laiti sie tungekuwa sio wanafiki, leo hii Ndugai asingekuwa Bungeni, let alone kuwa Spika. We all know alichofanya kwa mpinzani wake wakati wa kampeni za ubunge. Laiti sheria ingefuata mkondo wake, huyu bwana angekuwa mahala anapostahili na si Bungeni wala kwenye wadhifa huo wa Uspika.

Tumeshusha threshold ya maadili kiasi kwamba ni poa tu kwa mtu aliyetenda alichotenda Ndugai kupewa wadhifa mkubwa kabisa kitaifa. Kimahesabu, Ndugai kama Spika anaweza kuwa Rais kwa mujibu wa Katiba yetu (Rais, Makamu, Jaji Mkuu, Spika).

Logically, kama Ndugai ali-behave namna hiyo alipokuwa Naibu Spika, what did we expect from him akiwa Spika kamili?

Moja ya mapungufu makubwa ya Ndugai ni short temper. Wanasema ana "anger management issues" ambazo japo wapo wanaoweza kutetea kuwa ni ubinadamu lakini si kila binadamu ni Spika. Moja ya sifa za uongozi hata uwe ukiranja tu let alone uspika ni kudhibiti hasira.

Kwa bahati mbaya suala hili litapita hivi hivi kama ambavyo suala la Bashite lilivyopita hivihivi. Kwa upande mmoja sie ni wepesi wa kukumbuka vitu vya ovyo ovyo lakini wagumu sana kukumbuka masuala muhimu kwa taifa letu. Angalia waliokuwa wakipiga kelele kuhusu Ben Saanane walivyomsahau. Angalia tukio la Lissu lilivyoachwa kuwa suala lake binafsi. Angalia unyama aliofanyiwa Lema na zaidi Sugu lakini jamii inaona poa tu. Angalia kilichojiri MKIRU lakini nobody gives a f*ck.

Sisi kama jamii ni chanzo muhimu cha haya mabaya yanayojiri katika nchi yetu. Tunasherehesha maovu. Tumekubali kuwa kutokuwa na maadili sio big deal lakini pindi dharau hiyo ikizua tatizo, twaanza kulalamika as if hatukujua kuwa "mzaha mzaha huzaa usaha."

Finally, no matter what happens kwa Prof Assad, kwa baadhi yetu anabaki kuwa moja la lulu adimu za taifa letu. Uadilifu wake unamfanya kuwa prone to attacks from watu wasio waadilifu. Ucha Mungu wake unamfanya atizamwe kwa jicho la hofu na "mfumo Katoliki" ambao ndo "umezaa" akina Jiwe, wanaseminari waliotengenezwa kutumikia Kanisa wakaishia kutumikia Taifa, ilhali deep in their beliefs kuna "conflicts za kiroho."

Sent using Jamii Forums mobile appView attachment 990310
Well said Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi sifa zenu Watanzania zimenichosha, weka hapa alichofanya, niwekee records zake siyo kusifiana tu kama mnavyomsifu Tundu Lisu au sijui Zito Kabwe lkn hakuna popote pale ninapoweza kusoma archievements zao zaidi ya blah blah tu, hivyo niwekee hapa alichofanya Asad kitaaluma kustahili sifa zote hizi.

Kwa kawaida haiwezi kuwa ngumu kama ni kweli Mtaalamu bingwa wa Uhasibu kama mnavyojaribu kutuaminisha.
Kwa akili yako Benson Bana ni bora kuliko Profesa Asad. Hatuwezi kukubadilisha.
 
Namfahamu vema Profesa Assad. Nilianza kusikia jina lake mwanzoni mwa miaka ya 1990s nilipokuwa Tanga kama mwalimu wa sekondari ya Eckenforde. Walimu wenzangu wawili - wote kwa sasa ni miongoni mwa wahasibu wabobezi - walikuwa wanafunzi wa Profesa Assad enzi hizo akiwa Dokta tu. Kwa mujibu wa maelezo yao, msomi huyo alikuwa kama mpishi wa wahasibu, na pengine tu hatuna utamaduni wa kuenzi mchango ya watu waliofanyia makubwa Taifa letu ndo maana mchango wa Prof Assad katika taaluma ya uhasibu hausikiki sana.

Lakini licha ya umahiri wake kitaaluma, Prof Assad ni mcha Mungu kweli kweli. Na hili in some way limemtemgenezea maadui kitambo. Mie ni Mkristo. Mkatoliki. Lakini pia ni mwanafunzi wa zamani wa Sosholojia ya Dini ambayo nilifundishwa na Dr Father John Sivalon, msomi ambaye thesis yake ya PhD inaeleza kwa undani kuhusu mahusiano ya dola na Kanisa, na kwa namna flani kutanabaisha "ubaguzi dhidi ya Waislamu."

Kadhalika, kuna "tafiti endelevu" ninayoifanya kuhusu mahusiano kati ya Dola na Waislamu Tanzania, na kuna findings zisizopendeza kuhusu Tanzania yetu. Hatupaswi kuyasema haya hadharani lakini ukiwa Muislam msomi kisha mcha Mungu, highly likely kutaambatana na label ya "mujahidina." Ni ubaguzi wa kidini usiozungumzwa hadharani kwa sababu sie ni wanafiki wazuri ambao, kwa mfano, hadharani twakemea ushoga ilhali mitandaoni mashoga wanaongoza kwa idadi ya followers (implying tunachosema hadharani sio tunachotenda faraghani).

Unafiki wetu unachangia sana kuzima mijadala ambayo siku ikilipuka inaweza kuwa na athari kubwa kwa mustakabali wa Taifa letu. Mijadala kama nafasi ya Uadilifu katika medani ya uongozi. It is this simple: kiongozi asiye mwadilifu kwa mkewe hawezi kuwa mwadilifu kwa taifa. Na kiongozi asiyeheshimu ndoa ya mteuliwa wake, hawezi kuheshimu haki za anaowaongoza. This is neither rocket science nor brain surgery.

Unafiki wetu unatuziba mdogo kuongelea ubaguzi wa kidini. Unafiki wetu unatuziba mdogo kuongelea wimbi hatari la ukanda na ukabila linalozidi kuchipuka tangu Jiwe ashike madaraka. Tunasubiri litokee la kutokea ndio tuanze mijadala ya kinafiki.

Na ni uadilifu na kinyume chake ndio hasa msingi wa hili sakata la Prof Assad vs Ndugai. Hawa ni watu wawili walio katika mizani tofauti kabisa. Wasifu wa Assad upo wazi kwa kila mmoja wetu kuufahamu. Mwanataaluma hiyo ni role model kwa Mtanzania yeyote yule, iwe kitaaluma au kiroho. Ikumbukwe kuwa sio rahisi sana kuwa "msomi sana" kisha "mshika dini sana" kwa sababu unfortunately usomi umeelemea katika facts ilhali dini imeelemea katika imani. So, kudos kwa msomi yeyote yule ambaye pia ni mcha Mungu, takes a lot of courage ku-negotiate usomi na dini.

Kwa Ndugai ni polar opposite ya Prof Assad. Nayajua maisha yake binafsi lakini hapa si mahala pale kuyaongelea. However, laiti sie tungekuwa sio wanafiki, leo hii Ndugai asingekuwa Bungeni, let alone kuwa Spika. We all know alichofanya kwa mpinzani wake wakati wa kampeni za ubunge. Laiti sheria ingefuata mkondo wake, huyu bwana angekuwa mahala anapostahili na si Bungeni wala kwenye wadhifa huo wa Uspika.

Tumeshusha threshold ya maadili kiasi kwamba ni poa tu kwa mtu aliyetenda alichotenda Ndugai kupewa wadhifa mkubwa kabisa kitaifa. Kimahesabu, Ndugai kama Spika anaweza kuwa Rais kwa mujibu wa Katiba yetu (Rais, Makamu, Jaji Mkuu, Spika).

Logically, kama Ndugai ali-behave namna hiyo alipokuwa Naibu Spika, what did we expect from him akiwa Spika kamili?

Moja ya mapungufu makubwa ya Ndugai ni short temper. Wanasema ana "anger management issues" ambazo japo wapo wanaoweza kutetea kuwa ni ubinadamu lakini si kila binadamu ni Spika. Moja ya sifa za uongozi hata uwe ukiranja tu let alone uspika ni kudhibiti hasira.

Kwa bahati mbaya suala hili litapita hivi hivi kama ambavyo suala la Bashite lilivyopita hivihivi. Kwa upande mmoja sie ni wepesi wa kukumbuka vitu vya ovyo ovyo lakini wagumu sana kukumbuka masuala muhimu kwa taifa letu. Angalia waliokuwa wakipiga kelele kuhusu Ben Saanane walivyomsahau. Angalia tukio la Lissu lilivyoachwa kuwa suala lake binafsi. Angalia unyama aliofanyiwa Lema na zaidi Sugu lakini jamii inaona poa tu. Angalia kilichojiri MKIRU lakini nobody gives a f*ck.

Sisi kama jamii ni chanzo muhimu cha haya mabaya yanayojiri katika nchi yetu. Tunasherehesha maovu. Tumekubali kuwa kutokuwa na maadili sio big deal lakini pindi dharau hiyo ikizua tatizo, twaanza kulalamika as if hatukujua kuwa "mzaha mzaha huzaa usaha."

Finally, no matter what happens kwa Prof Assad, kwa baadhi yetu anabaki kuwa moja la lulu adimu za taifa letu. Uadilifu wake unamfanya kuwa prone to attacks from watu wasio waadilifu. Ucha Mungu wake unamfanya atizamwe kwa jicho la hofu na "mfumo Katoliki" ambao ndo "umezaa" akina Jiwe, wanaseminari waliotengenezwa kutumikia Kanisa wakaishia kutumikia Taifa, ilhali deep in their beliefs kuna "conflicts za kiroho."

Sent using Jamii Forums mobile appView attachment 990310
Baada ya kupoteza mvuto jf etc km kondomu iliyotumika umeamua kuja na porojo za udini "ukatoliki" ili upate sapoti kutoka upande wa pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unajitaidi kudhibitisha kwamba kweli tunatawaliwa na unafiki mpaka imekuwa ni sehemu ya maisha yetu kama kuna mtu haoni kwamba Ndugai na bunge limekuwa la hovyo kupitiliza mpaka limepoteza maana ya bunge basi anatatizo kubwa sana Hili la udini naona nikubwa ila kutokana na unafiki au hovu hakuna wakulizunguzia ila tulimsikia Tundu Lisu ambae nae ni mkatoliki akizunguzia jinzi utawala huu unaendekeza udini hasa kwa kuwapendelea ukatoliki tatizo lipo tukilificha mda utaamua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Assad kaambiwa alipewa Nyumba Za NSSF Na Dau kwa mlengo wa kidini ? Au hujasoma hizo tuhuma Au unajisahaulisha kinafiki?
Unaujua ukweli hakuna aliyepewa nyumba zile, kila anayeimiliki alinunua. Dau alikuwa muislam na mkurugenzi wa NSSF na Assad alikuwa muislam akanunua. sasa tatizo nini.
 
Assad hana wa kumshika mkono naamin hata yule wa magogoni hamtaki na anatafuta njia na vigisu kupitia mgongo wa wengine

Kwa sifa anazopewa Assad naamini ni mtu mwepesi sana wa kujiuzulu pale inapotokea hatendewi haki

Mda ni mwalimu ila naamin Assad yuko peke yake na wengi hawamtaki especially watu wa mapambio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom