khaaaaaaa! kweli haya mambo hayana mzee, ona jasho linavyokutoka kusifia! kula uliwe baba!Mwenzenu nabanwa kwa khanga kabla kazi haijaanza vinginevyo weza rushwa kupitia dirishani,chezeiya wewe mwanamke wa kimatumbi kwao mama wa ikwiriri baba wa nandonde.
hubby wangu ananipa GBP! Sa cjui we utatumia nn?? nasubiria hapa proposal!Bishanga hatongozeagi mistari,mi natongezea hela,sema unataka sh ngapi?
nitupie basi na mimi kwa m-pesa! nikabadilishe dhahabu zangu kitumbini! lolHaliwi mtu hapa,kutoa mkwanja hiyari ya moyo.
hubby wangu ananipa GBP! Sa cjui we utatumia nn?? nasubiria hapa proposal!
Bishanga unamjua unamsikia? Mapigo yangu muulize ex wa Nyani Ngabu.We fikiria midolari aliyonayo lakini dem wake kwangu alilegea mlenda cha mtoto,mpaka leo NN hatuongei.Chezeiya bepari la kihaya wewe.Mi nna hela bana.Sema unataka apartment oysterbay? Vitara new model brand new? Shopping durban? Nambie tu mtoto mzuri.
looooooohhhhhh! job true true! hebu nitupie basi hizo rasha rasha kwanza, ili nihamasike! lol! ila si unajua waeza kuwa very rich ila ukaguzi '0' THINK Bishanga THINK!Bishanga unamjua unamsikia? Mapigo yangu muulize ex wa Nyani Ngabu.We fikiria midolari aliyonayo lakini dem wake kwangu alilegea mlenda cha mtoto,mpaka leo NN hatuongei.Chezeiya bepari la kihaya wewe.Mi nna hela bana.Sema unataka apartment oysterbay? Vitara new model brand new? Shopping durban? Nambie tu mtoto mzuri.
haya papito, nakuona tu!Haliwi mtu hapa,kutoa mkwanja hiyari ya moyo.