we nawe!! mbona ur writings sounds familiar lakini?? hebu rudia ID yako ya zamani bwana, nini lakini?? kuhusu kumPM mume wa mwenyewe, ruksa mamito, wala usitie shaka, Asprin namjua, anajua kupembua, hali vyote so shaka ondoa!
sijaelewa nifanyeje cacico. Vigezo na masharti vya mume wa mtu nitavizingatia nisije nikakojoa dagaa bure
Hahahahaha!!! Hommie Kaizer popote pale ulipo hebu njoo unisaidie kusoma katikati ya mistari hapa!!we nawe!! mbona ur writings sounds familiar lakini?? hebu rudia ID yako ya zamani bwana, nini lakini?? kuhusu kumPM mume wa mwenyewe, ruksa mamito, wala usitie shaka, Asprin namjua, anajua kupembua, hali vyote so shaka ondoa!
Si ndo hapo hommie..... Afu huyu hapa chini nazani hafai kwenye ile kazi yetu..Khaa!Ninaona Asprin, ujue sasa hapa utamu wa ngoma uingie ucheze, nani alikuwa anakufunda na kukupakaza dawa aisee?
Yani huo ndo mpango mzima.
Mnataka Mle tu bila Kuliwa...???
Ebo..!!!
Njoeni na Asprin wako muone 'Yaliyomo Yamo'
Si ndo hapo hommie..... Afu huyu hapa chini nazani hafai kwenye ile kazi yetu..Khaa!
Ngoja nimkabizi huyu amkague, si tuendelee na mpango mkakati wa Catherine na ummu kulthum
:loco::second:Copyright Β© 2010 u-turn.co.tz design by odm
He! Umeipatamo wapi hii makitu hommie?Halafu hommie hebu jibu hizi tuhuma hii kazi ni wewe ulifanyapo au watu wanatumia jina la ODM vibaya?
:loco::second: