asprin uko juu

Jamani eeh! Nyie mnachangia pato la serikali saa ngapi? cacico popote pale ulipo, come this way babe, nataka nikunyweshe kikombe changu cha protini. Tafazali usimwambie gfsonwin maana naona ananiPM sana anataka nimkague. Kaizer popote ulipo please do not note.
 
Last edited by a moderator:
ulitoweka wakati nilikuwa nakuona majukwaa fulani unazurula bila viatu. cacico, boyfriend wako asprin hajatatua shida yangu.
MIMI?
Utakuwa umenifananisha lol
Nilikuwa nashangaa tu bila kuchangia siunajua batani zangu huwa zinagoma nikiwa hoi
 
MIMI?
Utakuwa umenifananisha lol
Nilikuwa nashangaa tu bila kuchangia siunajua batani zangu huwa zinagoma nikiwa hoi

teh teh teh! Ukaguzi wa wajukuu ulikuacha hoi au? Cjakufananisha, ni wewe ulivaa suruali ya njano na shati la mauamaua.
 
nimekununia, unajua ulichonifanya! siji mpaka unibembeleze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…