Asprin, timiza ahadi yako tafadhali

Asprin penye udhia tia rupia! hebu onesha nia kwa kumtupia shekeli nono uone kama uchoyo wake hautayeyeka

hela ananipa mme wangu hapa ni stor tu na baba yang af nitampa zawad pia teh teh..
 

Mm kuanzia nijiunge na JF nafikiri ni post 5 tuu nimeanzisha..
 

Sitoshangaa ukipigwa ban kuanzisha thread
 
Asprin penye udhia tia rupia! hebu onesha nia kwa kumtupia shekeli nono uone kama uchoyo wake hautayeyeka
Hebu fanya mandingo nikamatemo huu mchuchu..... Mi naona hausikii wimbo wangu. Si unaona kalivyo kabishi?

hahahaa babu nimekunyma nin tena. Kumbe hauna meno twende nikakupe uji.
Hata uji ntakunywa ili mradi unipe nitakavyo.
 
Hebu fanya mandingo nikamatemo huu mchuchu..... Mi naona hausikii wimbo wangu. Si unaona kalivyo kabishi?

Hata uji ntakunywa ili mradi unipe nitakavyo.

Aaaa babu utaishia kunywa uji tu..
 
Mm kuanzia nijiunge na JF nafikiri ni post 5 tuu nimeanzisha..

Tano tu pole sana siku hizi KUNAKUPIGWA Banned kuanzisha thread .Nahisi tecknolojia ikiboreshwa huwa kuna watu watakuwa wanapigwa banned ku reply au ku comment kwenye uzi .Lakini hata hivyo sio mbaya mtu unapigwa banned kuanzisha thread lakini kwenye ku comment hupigwi banned.
 
hebu fanya mandingo nikamatemo huu mchuchu..... Mi naona hausikii wimbo wangu. Si unaona kalivyo kabishi?

Hata uji ntakunywa ili mradi unipe nitakavyo.

Au tumwendee Tanga Kicheba kwa babu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…