mama grace
Member
- Jan 20, 2020
- 65
- 297
Nina mtoto wa ndugu yangu amesoma HGK amepata division One ya point 7. Ana B ya kiswahili, B ya Geograph na C ya history. Ananiomba ushauri asome course gani?
Yeye kama yeye alitamani asome HR. Ila ni kama hajaridhika na hiyo HR kuna course gani nyingine anaweza soma?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app