mbuyake
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 348
- 633
Habari bandugu huku,kuna mtoto wa bro alimaliza cha nne miaka minne huko nyuma,SASA kaomba Kada ya famasi kapata chuo flani level ya diploma lakini ameona tangazo chuo mwanza university eti wanatoa kozi ya MEDICAL AIDE miezi 7 ameipenda na Mimi sjawahi kuiskia kabla hiyo kozi ameniomba nimshauri kama Baba na Mimi nimeona nije kiringeni maana nimeshindwa nimpe lipi nasubiri mawazo yenu