Aslay, Rich Mavoko wanavyojishusha kimuziki

Aslay, Rich Mavoko wanavyojishusha kimuziki

sangujoseph

Senior Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
164
Reaction score
184
.
By Sangu Joseph
.
Unajua ukishakuwa Msanii Mkubwa kuna hatua 2 ambazo utajikuta unazipitia unategemea na hatua uliyokuwa nayo Kwa wakati huo na wewe unazihandle vipi.

Hatua ya 1 ni KUSHAMBULIA

Msanii anakuwa mshambuliaji pale ambapo huwa anakuwa anatoa Ngoma na zinahit Mtaani, kila mahali unapopita ni yeye Tu na hatua hii Kwa sasa Tanzania ameifikia Diamond Platnumz, Harmonize, Mwana FA, AY, Darassa, Nandy NK.

Hatua ya pili ni Msanii KUJILINDA au KUJISHAMBULIA.

Hapa Msanii mara nyingi huwa anatumia muda mwingi kujibu kashfa, kwanini Ngoma zake hazihit, Ngoma zake kwanini hazisikiki na mfano wake ni Aslay, Baraka The Prince, Rich Mavoko, wakihojiwa maswali Yao mengi ni kuhusu kulalamikiwa Tu, hii hatua msanii anaweza kuingia na akatoka na mfano wa waliotoka ni Alikiba alikuwa akilalamikiwa Sana na mashabiki zake kuhusu utoaji wa Ngoma.
.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom