josephantcharles
Member
- Aug 16, 2015
- 88
- 27
Acha afunguke kijanaHabari za mchana wana Jf , mm binafsi ni shabiki mkubwa wa nyimbo za dogo aslay ukweli ni kwamba dogo anajitahidi . Ila kilonifanya niandike hii thread kuna wimbo wa aslay umetoka sijui kautoa mwenyewe au umevuja au VP maana wimbo wenyewe una verse moja tu lkn mashairi ya wimbo huo hayajawafurahisha wanawake wengi ikiwemo Mimi .
Ni wimbo ambao unamdhalilisha mwanamke huyu do go anapaswa atambue kwamba mashabiki wa mziki wake wengi ni wanawake .hata kama umeachana na mwanamke huwez kumtolea matusi kama ya kwenye wimbo wa aslay . so aslay kama umo humu Jf acha kudhalilisha wanawake ambao ndo mashabiki zako wakubwa including Ray 4 real.
Baadhi ya mashairi katika huo wimbo;[emoji116]
Kiuno kizito kama engine ya fuso ,
Hauna lolote kitandani yaani upopo,
Unashindwa hata kufua vichupi vyako,
Unanuka jasho makwapani kama choo cha soko..
Hayo ni baadhi ya mashairi kwa kweli hayajatufurahisha wanawake na ni udhalilishaji
So aslay if u are also in Jf na ukasoma hii thread ujue umetudsappoint 90% ya wanawake Tz. Yangu ni hayo sema nimeshindwa kuapload hiyo audio.
Namshukuru Mungu sina hata mojaKwani unazo hizo sifa alotaja Asley hapo juu???
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu mm sio demu wa aslayacha kulalamika, legeza kiuno hicho.
Habari za mchana wana Jf , mm binafsi ni shabiki mkubwa wa nyimbo za dogo aslay ukweli ni kwamba dogo anajitahidi . Ila kilonifanya niandike hii thread kuna wimbo wa aslay umetoka sijui kautoa mwenyewe au umevuja au VP maana wimbo wenyewe una verse moja tu lkn mashairi ya wimbo huo hayajawafurahisha wanawake wengi ikiwemo Mimi .
Ni wimbo ambao unamdhalilisha mwanamke huyu do go anapaswa atambue kwamba mashabiki wa mziki wake wengi ni wanawake .hata kama umeachana na mwanamke huwez kumtolea matusi kama ya kwenye wimbo wa aslay . so aslay kama umo humu Jf acha kudhalilisha wanawake ambao ndo mashabiki zako wakubwa including Ray 4 real.
Baadhi ya mashairi katika huo wimbo;[emoji116]
Kiuno kizito kama engine ya fuso ,
Hauna lolote kitandani yaani upopo,
Unashindwa hata kufua vichupi vyako,
Unanuka jasho makwapani kama choo cha soko..
Hayo ni baadhi ya mashairi kwa kweli hayajatufurahisha wanawake na ni udhalilishaji
So aslay if u are also in Jf na ukasoma hii thread ujue umetudsappoint 90% ya wanawake Tz. Yangu ni hayo sema nimeshindwa kuapload hiyo audio.
Huu ni utoto wa kiwango cha lami HV ingekuwa watu wanaachana wanasemana mambo ya ndani kusingekalikaHahahaa....
Hii dunia hii...
Mkuu usihofu, huyo jamaa bado ni mtoto ndio maana. Kama angekuwa mtu mzima na kweli wameachana na mwenzake basi wangeyamaliza wao wenyewe... Hahahaaaa
Nyie mnamshauri ujinga huyo dogo mbona nyie mnanuka makwapa kama chemba za choo, miboxer hamfui, mipmb inatoa harufu kama vyoo vya solo lkn watu wanawavumiliaAcha afunguke kijana
Kama uko namna hiyo Pole.
Ukweli una uma.
Sio wote tuko hivyo. Japo wapo.Nyie mnamshauri ujinga huyo dogo mbona nyie mnanuka makwapa kama chemba za choo, miboxer hamfui, mipmb inatoa harufu kama vyoo vya solo lkn watu wanawavumilia
Na nyie jisigueni hayo makwapa yenu yana tema na mapmb muyaoshe yanatema na boxer ukivaa Mara moja ufueOga, fua nguo zako za ndani... kwani ina kuchukua muda gani? Mpaka huyu dogo akuimbie ndio ushituke "eee hivi kumbe tu chupi huwa tuchafu?" Ame sahau kuongeza shairi hapo " na pasi uzipige nguo zako za ndani".
Hahaaa likiwagusa mnakuwaga wapole basi ujue sio wote wapo hivo alivoimba aslay lkn kwa haki za wanawake kakosea wale ni mama zenuSio wote tuko hivyo. Japo wapo.
Hajui kwamba ana Dada , mashangazi japo mamaake ameshatangulia mbele za haki hakufanya uungwanakm ni kwel bc hajafanya uungwana ktk hlo
HV mnajijua kwamba mna makwapa yenu yanatema harufu kama mzoga wa panya ?? Basi na nyie badilikeni ni wachafu kupita kiasi boxer inavaliwa Siku 2+Wewe ni 90% ya wanawake?
ubadilike, huo ndio ukweli wanawake mko hivyo
Udhalilishaji sio mzuriHuwezi kufurahishwa kila siku..
Jifunze kupokea machungu sawa na matamu.
Na nyie hamjatungiwa nyimbo tu ila mkitungiwa mtapelekwa hospital kwa presha, vyumba vina ficha mambo hvkama mnashindwa haya Aslay anayoyaona basi mvumilie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ni kweli maboxer yananuka maana yanavaliwa Mara 1+ kwann lisinuke na jasho lote la dar?? Makwapa ndo kabisa unakuta mengine hata deodorant hayajui ..mnafurahia aslay kumuaibisha mwanamke wakati nyie mmeoz kabisa.. Vyumba vina siri nzito[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23]huwa mnatusema hatufui boxer kuimbwa kidogo tu mnaanzisha Uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jitahidi kuwa msafi basi