Askwar Hilonga-Mbunifu aliyeitendea haki PhD yake...

Askwar Hilonga-Mbunifu aliyeitendea haki PhD yake...

Kuna siku alihojiwa na akasema his education means nothing to him if it can't serve his own people. Ni mtu mmoja very focused and determined. Alishinda ile BBC challenge ya innovation kwa kutumia hii innovation yake ya filter ya maji. Namkubali sana
Yeah man.. Ni nyota njema
 
Utakuja sikia anagombea ubunge 2020. Hawaaminiki hawa.
 
Back
Top Bottom