kingi mweuc
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 266
- 73
Habari wana jamvi naomba kuuliza hizi barafu au ice cream za maziwa zinaweza kukupa faida kweli kama utauza kwa mia mia?? Naomba mchanganuo wake wa mahitaji gharama zake na idadi ya barafu zitazopatikana ili tujue faida itakua sh ngapi asanteni