Askofu wa angilikana Dodoma G.M.Mhogolo ametwaliwa mbinguni

Pole ndugu yangu. Hukufanikiwa kumfahamu Bishop Mhogolo.
Umeingia katika mtego wa wale waliomchukia na kumlisha maneno ambayo hakusema ili kuwafanya wafuasi pamoja na wewe, wamchukie na kumwondoa ili waingie katika nafasi hiyo. Kuhusu USHOGA alichosema kwa BBC alipohojiwa ni kuwa "Ushoga ni dhambi kama dhambi nyingine, huwezi kuwatenga, lazima uwe nao na uendelee kuwahubiri ili waiache dhambi hiyo. kwa kuwatenga hutawasaidia". Kwa taarifa yako kama ni mfuatiliaji wa mambo hata mtumishi wa Mungu Pope Frances (wa wakatoliki) miezi michache iliyopita aliulizwa msimamo wake kuhusu USHOGA alisema, "hatutakiwi kuwatenga". Aliensndelea kusema kwa kimombo, "Who am I to Judge them (mimi ni nani hata niwahukumu)?
Kuhusu Upendeleo kwa taarifa yako hiyo bookshop kwa muda mrefu haipo, na ungejua kuwa hata ndugu zake ni very limited katika familia usingeingiza hilo.
Mwache akapumzike vizuri alipopangiwa na Mungu wake kulingana na alivyotumika katika maisha yake.
Kwa macho ameiacha Dayosisi mahali pazuri hasa makao makuu. Kwa muda mrefu watumishi wa makao makuu hawajakopwa mishahara yao, wanalipwa vizuri na kwa wakati.
R.I.P Bishop.

Nakumbuka mwaka 2004 alikuta walimu wawili waislamu wameajiriwa katika shule ya DCT HOLY TRINITY wakati sio wakristo,walikuwa mr Kitundu na mwingine simkumbuki vizuri jina.Jamaa aliwatoa baru kama mbwa wezi.
 
Una uhakika gani kuwa ametwaliwa mbinguni?

Huyu mleta mada mpaka nimemuogopa maana bila shaka huyu jamaa uwa anaendaga mbinguni kutembea na kurudi huku dunian na ndio maana ameweza kushuhudia Askofu akitwaliwa huko mbinguni na kisha nae kuja kutuhabarisha hapa jf,vinginevyo hakuna binadam anayeweza kutuletea taarifa kama hii.
 
Noma kweli, ngoja nisome.
Hata wewe utatangulia safisha njia yako ni mjuha gani anajiita Mc Kenzie (Hii imekaaje? What is the link? inaongeza nguvu ya hoja yako ama inajibu concern yangu? Hahahahahah, kuishiwa hoja noma) km sio utumwa km wa huyo mtu wako kuoa nje wakati watoto wanaikimbia Dodoma? (Hii namna gani? Angeoa Dodoma watoto wasingeikimbia Dodoma? Wanakimbia kwa kumwogopa huyo mkewe wa nje? Duh! Kazi ipo!)
 
Nakumbuka mwaka 2004 alikuta walimu wawili waislamu wameajiriwa katika shule ya DCT HOLY TRINITY wakati sio wakristo,walikuwa mr Kitundu na mwingine simkumbuki vizuri jina.Jamaa aliwatoa baru kama mbwa wezi.
Bora wewe umeona mm nilishuhudia mengi
 
Nakumbuka mwaka 2004 alikuta walimu wawili waislamu wameajiriwa katika shule ya DCT HOLY TRINITY wakati sio wakristo,walikuwa mr Kitundu na mwingine simkumbuki vizuri jina.Jamaa aliwatoa baru kama mbwa wezi.

Mh! Mtakumbuka mengi juu ya mtumishi wa Mungu ambaye yeye kamaliza kazi aliyotumwa na Muumba wakae hapa duniani. Ametumika alivyotumika. Atoaye hukumu ni Muumba wake ambaye ni wetu pia. Jipange na wewe ili ikipendeza umalize kazi yako vizuri kama anavyopenda Mungu kuwa sote tusipotee bali tuwe na uzima wa milele (kwa imani), badala ya kulalamikia maisha ya mtu mwingine.

Inawezekana walimu hao (kama ni kweli) walipoingia katika shule hiyo hawakukumbuka msemo wa wahenga usemao "ukienda kwa wenye chongo nawe vunja jicho lako". Iwapo walitaka waendelee kuwa na "macho" yao wakati waliowakuta wote wana "jicho" moja moja, lazima wagetofautiana misimamo. Kumbuka; ukitaka usome shule ya Jamhuri Sekondari (ya Dodoma) ambayo wamiliki wake ni waislamu, kwa wasichana lazima uvae HIJABU bila kujali wewe ni wa imani gani. Usipofanya hivyo hutasoma shule hiyo. Hutakiwi kumlaumu mwenye shule kwa kuwa huo ni utaratibu wa taasisi husika.

R.I.P Bishop Mhogolo
 
Huyu mleta mada mpaka nimemuogopa maana bila shaka huyu jamaa uwa anaendaga mbinguni kutembea na kurudi huku dunian na ndio maana ameweza kushuhudia Askofu akitwaliwa huko mbinguni na kisha nae kuja kutuhabarisha hapa jf,vinginevyo hakuna binadam anayeweza kutuletea taarifa kama hii.

Achana nae ameshiba ubwabwa
 
Acha hizo bana niaje.....? Hivi mtu anayezikwa na mavi yake tumboni na yule anayesafishwa kutolewa uchafu wote tumboni ili akutane na mungu wake akiwa safi...yupi ndio mchafu....?

Acha ujinga ww nani kakwambia kuwa Mungu tunakutana naye kwa mwili huu wa duniani??? Haijalishi kama umekamuliwa m.a.v.i yooote tumboni au la. mwili utabaki na kuishia kwenye udongo na Mungu utakutana naye kwa namna nyingine kabisaaaaa.. mimi na wewe hatujui kabisa itakuwa ni kwa namna ipi njomba.....So biashara ya kukamua watu ndo muzike eti ili akakutane na mungu akiwa msafi!!!!! Mmhhh.. dini za waarabu hizi Kaaaz kwel kwel
 
Du R.I.P. Mhogolo
namkumbuka kwa mengi
moja kuu ni lile
  • Alipohojiwa na Marehemu Ngahyoma wa BBC kuhusu USHOGA kuingia Anglicana Duniani ALITETEA SANA HII KITU NA HAKURUDI NYUMA
  • Kung'ang'ania miradi ya Kanisa Anglican (Central Tanganyika) na kuwasahau wazawa sijui kwa vile alioa mzungu
  • ujaza ndugu kibao, Anglican, Mackay, DCT, Bookshop na kwingineko
Kweli lililo na mwanzo lina mwisho

Mungu amlipe malipo kama ya makafiri wengine.
 
Huyu mleta mada mpaka nimemuogopa maana bila shaka huyu jamaa uwa anaendaga mbinguni kutembea na kurudi huku dunian na ndio maana ameweza kushuhudia Askofu akitwaliwa huko mbinguni na kisha nae kuja kutuhabarisha hapa jf,vinginevyo hakuna binadam anayeweza kutuletea taarifa kama hii.

Kwi kwi kwi...mbavu zangu....
 
Sorry sijui naweza kupata updates za mtumish mbinguni huko? I mean mapokezi, na aliposhukia!
 
Mh! Mtakumbuka mengi juu ya mtumishi wa Mungu ambaye yeye kamaliza kazi aliyotumwa na Muumba wakae hapa duniani. Ametumika alivyotumika. Atoaye hukumu ni Muumba wake ambaye ni wetu pia. Jipange na wewe ili ikipendeza umalize kazi yako vizuri kama anavyopenda Mungu kuwa sote tusipotee bali tuwe na uzima wa milele (kwa imani), badala ya kulalamikia maisha ya mtu mwingine.

Inawezekana walimu hao (kama ni kweli) walipoingia katika shule hiyo hawakukumbuka msemo wa wahenga usemao "ukienda kwa wenye chongo nawe vunja jicho lako". Iwapo walitaka waendelee kuwa na "macho" yao wakati waliowakuta wote wana "jicho" moja moja, lazima wagetofautiana misimamo. Kumbuka; ukitaka usome shule ya Jamhuri Sekondari (ya Dodoma) ambayo wamiliki wake ni waislamu, kwa wasichana lazima uvae HIJABU bila kujali wewe ni wa imani gani. Usipofanya hivyo hutasoma shule hiyo. Hutakiwi kumlaumu mwenye shule kwa kuwa huo ni utaratibu wa taasisi husika.

R.I.P Bishop Mhogolo

Hakuna ubaya wowote kujadili ama kukumbuka jambo lolote alilofanya marehemu,ili kama ni jema tuenzi na kuiga na kama ni ovu tuepuke
 
Hakuna ubaya wowote kujadili ama kukumbuka jambo lolote alilofanya marehemu,ili kama ni jema tuenzi na kuiga na kama ni ovu tuepuke
Hawa ndio wenyeji wa hapa, kila kitu hawaamini na hawataki mabaya yaelezwe juu ya Mtumishi wao
Papa Benedict wa KATOLIKI kasemwa na yuko Hai bado sembuse Mhogolo
Hebu muulize huyo Nding'oli anajua ile kashfa ya kuushabikia Ushoga na kuwavuruga Wachungaji wake ilipozwa na nani?
au ule Moto wa kuchukiwa kila mahali mpaka kuukosa Uaskofu Mkuu ulimalizwa na nani.
sisi wakazi wa Chang'ombe Dodoma tulikuwa tukipishana naye usiku kwa Witch-Doctor na wakibisha tutaanika na jina lake humuhumu,
Sio wanatetea mambo MAZURI TU na WANAFICHA wasiyoyajua km walikutana huko mbinguni Wakawaambia fulani na madhehebu yake ni bora.
Kuhusu Jamhuri Sekondari ni UONGO hakuna Sheria ya kuwalazimisha Wakristu na Wapagani kuvaa Hijabu
Huyu Askofu bado hatujamzika, tumuache azikwe kwa amani RIP MhOGOLO

quote_icon.png
By Nding'oli
Mh! Mtakumbuka mengi Jipange na wewe ili ikipendeza umalize kazi yako vizuri kama anavyopenda Mungu kuwa sote tusipotee bali tuwe na uzima wa milele (kwa imani), badala ya kulalamikia maisha ya mtu mwingine.
shule ya Jamhuri Sekondari (ya Dodoma) ambayo wamiliki wake ni waislamu, kwa wasichana lazima uvae HIJABU bila kujali wewe ni wa imani gani
 
Last edited by a moderator:
Mmh!! Imboombo ngaafu mwe.
Du huyu Askofu hakuwa Mnyakyusa na nilichopinga Jamhuri Sec hawalazimishi Hijabu eti usipovaa unafukuzwa
1970397_739631659404426_1256297281_n.jpg

Ngoja huyu Mzee apumzishwe hapo uwanjani pamoja na Askofu Madinda na Mkewe
Na sisi tupo njia moja hatujui TUENDAKO
 
Back
Top Bottom