Askofu usikubali kumsujudia shetani wajua wanawinda kichwa chako

Askofu usikubali kumsujudia shetani wajua wanawinda kichwa chako

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,124
Reaction score
1,983
Wajua nini chakusema. Bakia palepale guy. Miye nilikuambia Siku Ile uhame pale wajua nini kingetokea kama usingehama. Leo wamekuwekea mtego hapo kwako Kesho wakunase. Au wajuemo wapi uko.

Bakia humohumo. Mulemule mayi. Hutaki utekaji siye pia. Nye Nye Nye. Hiyo hutuba uliyoletewa usisome. Wape kile wanachopewaga masikio yawashe. Hehee.

Najua Leo umejaribu kurekodi vya kutosha. Miye sijui wajua weye na bado
 
Wajua nini chakusema. Bakia palepale guy. Miye nilikuambia Siku Ile uhame pale wajua nini kingetokea kama usingehama. Leo wamekuwekea mtego hapo kwako Kesho wakunase. Au wajuemo wapi uko. Bakia humohumo. Mulemule mayi. Hutaki utekaji siye pia. Nye Nye Nye. Hiyo hutuba uliyoletewa usisome. Wape kile wanachopewaga masikio yawashe. Hehee. Najua Leo umejaribu kurekodi vya kutosha. Miye sijui wajua weye na bado
MAHARAGE YA WAPI?
 
Jamaa ana info huyu sio wa kumbeza alikuwa wa kwanza kusanua kuwa wamemwinda, wameshindwa ss Wana hasira nae sana watafungua Kanisa ili wamnase na yote yametokea. Namwonea huruma sana Niffer anavyojiachia sidhani kama ana siku nyingi na mbaya zaidi ni mjuaji sana.
 
Back
Top Bottom