Askofu Stephen Munga: Mdude CHADEMA karibu tena duniani

Amina Baba Askofu na Mungu akupe maisha marefu na kukuongezea maono zaidi .
 
Mwanajeshi wa jeshi gani?! SALVATION ARMY- JESHI LA WOKOVU LA MCH. ...?!
wenzio wote tuliopitia jeshi tunajitambua na ni wazalendo wa nchi hii ndio maana tunasema ukweli.
Mtu yoyote akivunja sheria za nchi akamatwe na polisi, apelekwe mahakamani. Sio kutumia hizi njia za kienyeji. Kwa kifupi magufuli pumzi imekata/amefeli kila kitu ndio maana anatumia nguvu kubwa na vitisho kuwanyamazisha watu.
Yupo stage ya mwisho kabisa ya utawala uliofeli(kuua raia na wapinzani).
 
Babu acha siasa unajua ndio maana kile chuo chako cha SEKOMU kimepigwa pini na usalama wake niwewe uachie ngazi na mkeo. Nimekushauri kwa upendo tu baba askofu wetu.
 
Mwanajeshi gani anaongea kipuuzi puuzi namna hiyo,
 
Wanajeshi wengi ni watu wana akili, nawe ungekuwa kweli mwanajeshi usingekuwa na hayo Mawazo ya kuku ya kutaka kumfanyizia mwajiri wako!!!
 
Acheni kutisha watu
 
Acha ushamba wako ko ungemnyoosha mshahala wako ungepanda.wewe mlinzi mlala nje funga domo lako masikini wewe
 
Mamlaka ya shetani lazima ikemewe mzee
Amkumbushe pia aishi kwa kuheshimu mamlaka. Maana kama mdude alivyosema hataacha kutukana, ndivyo na wafundisha tabia wameapa kuwa hawatamuua ila ataendelea kukiona cha moto. Sasa asije akaja tena na tsmko kama hatamfundisha njia iliyo bora.
 
Bavicha kiboko,mpaka baba askofu kaingia mkenge!
Huyo mtu yupo hai,atueleze ni nani aliemteka mbona yupo kimya tu
 
kambi ya milembe
 
Embu tuone hilo jasho lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…