Askofu Stephen Munga: Mdude CHADEMA karibu tena duniani

Tunamshukuru Mungu kwamba umerudi katika maisha haya. Naungana na wengine kukupa pole. Hukurudi kwa ajili ya wema na huruma ya watekaji na watesi wako bali umerudi kwa huruma na kusudi la Mungu. Unapaswa kumshukuru sana Mungu na kamwe usimuache. Pia wakumbuke kwa moyo wa shukrani wale wote waliokuombea na kupaza sauti zao ili uachiliwe huru. Ni furaha na faraja iliyoje kwamba siku moja sote tutakufa na kusimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mfalme wa wafalme! .

Ulipokuwa mikononi mwa watekaji na watesi wako hukuwa na thamani. Kwa kuwa hukuwa na thamani basi kwa vyovyote waliburudisha mioyo yao kwa kukufanyia walivyotaka. Wao walikuwa na malengo yao na bila shaka njia zozote za kutimiza malengo hayo zilikuwa halali. Ujue kwamba mateso yako, maumivu yako, kilio chako na machozi yako ndio ilikuwa furaha yao. Nakupa pole sana.

Watu hao waliokuteka na kukutesa hawajulikani lakini wapo hapa duniani na pengine tunapishana nao mitaani. Njia walizotumia kukuteka na kukurejesha inaonyesha kuwa wanafanya kazi nje ya mfumo na taratibu za kisheria ndio sababu hawakukurejeshea hospitali. Wapo wengine wanaotajwa kwamba nao walitekwa na hadi leo hawajapatikana. Ungana na wale wanaoendelea kuwaombea watu hao kwamba katika mateso, maumivu na machozi yao Mungu asimame upande wao.

Bila shaka unayo mengi ya kusimulia lakini kila simulizi yako uimalizie kwa kumshukuru Mungu. Ninamuomba Mungu akupe kupona na kusimama tena. Pia tafuta sana makusudi ya Bwana kukurejesha toka tundu la simba. Bwana Yesu anatuambia tuwaombee wanaotuudhi. Wewe waombee wala usiwalaani kwani ukifanya hivyo utakuwa umewapalia makaa ya moto vichwani mwao. Hata sasa usidhani kwamba waliokufanyia haya wana amani na furaha mioyoni mwao. La hasha! Damu na uhai wa mwanadamu sio mali ya mtu awaye yote bali ya Mungu. Kucheza na hivyo kinyume na sheria za nchi ni kuingilia himaya ya Mungu. Kwa hiyo wewe huhitaji kuwalaani kwani watekaji na watesi wako walikwisha kujilaani wenyewe. Jambo moja ambalo napenda kukuhakikishia ni kwamba: mateso yako, maumivu yako, uchungu wako, na machozi yako vitabaki kuwa kumbukumbu madhabahuni mbele ya kiti cha enzi cha Mungu aliye hakimu wa haki. Hivyo vitabaki kuwa kumbukumbu mpaka wale wote waliofanya hayo watakapokuja kusimama mbele za Mungu BWANA. Amani iwe nawe Mdude Chadema.View attachment 1093684
Amina Baba Askofu na Mungu akupe maisha marefu na kukuongezea maono zaidi .
 
Tangu nilipoyaona yale matusi how I wish wangekaua huko huko Goddamn siku zote mdomo unaponza kichwa halafu kijana unamdharau unamtukana na kumdhalilisha rais kiasi kile? Mimi kama mwanajeshi mwenye uzalendo na nchi hii na nisiyefungamana na upande wa chama chochote ningepewa hii mission ningekunyoosha vizuri bwana mdogo mpaka ungefurahi na roho yako .

Kutoka kambini.
Mwanajeshi wa jeshi gani?! SALVATION ARMY- JESHI LA WOKOVU LA MCH. ...?!
wenzio wote tuliopitia jeshi tunajitambua na ni wazalendo wa nchi hii ndio maana tunasema ukweli.
Mtu yoyote akivunja sheria za nchi akamatwe na polisi, apelekwe mahakamani. Sio kutumia hizi njia za kienyeji. Kwa kifupi magufuli pumzi imekata/amefeli kila kitu ndio maana anatumia nguvu kubwa na vitisho kuwanyamazisha watu.
Yupo stage ya mwisho kabisa ya utawala uliofeli(kuua raia na wapinzani).
 
Tunamshukuru Mungu kwamba umerudi katika maisha haya. Naungana na wengine kukupa pole. Hukurudi kwa ajili ya wema na huruma ya watekaji na watesi wako bali umerudi kwa huruma na kusudi la Mungu. Unapaswa kumshukuru sana Mungu na kamwe usimuache. Pia wakumbuke kwa moyo wa shukrani wale wote waliokuombea na kupaza sauti zao ili uachiliwe huru. Ni furaha na faraja iliyoje kwamba siku moja sote tutakufa na kusimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mfalme wa wafalme! .

Ulipokuwa mikononi mwa watekaji na watesi wako hukuwa na thamani. Kwa kuwa hukuwa na thamani basi kwa vyovyote waliburudisha mioyo yao kwa kukufanyia walivyotaka. Wao walikuwa na malengo yao na bila shaka njia zozote za kutimiza malengo hayo zilikuwa halali. Ujue kwamba mateso yako, maumivu yako, kilio chako na machozi yako ndio ilikuwa furaha yao. Nakupa pole sana.

Watu hao waliokuteka na kukutesa hawajulikani lakini wapo hapa duniani na pengine tunapishana nao mitaani. Njia walizotumia kukuteka na kukurejesha inaonyesha kuwa wanafanya kazi nje ya mfumo na taratibu za kisheria ndio sababu hawakukurejeshea hospitali. Wapo wengine wanaotajwa kwamba nao walitekwa na hadi leo hawajapatikana. Ungana na wale wanaoendelea kuwaombea watu hao kwamba katika mateso, maumivu na machozi yao Mungu asimame upande wao.

Bila shaka unayo mengi ya kusimulia lakini kila simulizi yako uimalizie kwa kumshukuru Mungu. Ninamuomba Mungu akupe kupona na kusimama tena. Pia tafuta sana makusudi ya Bwana kukurejesha toka tundu la simba. Bwana Yesu anatuambia tuwaombee wanaotuudhi. Wewe waombee wala usiwalaani kwani ukifanya hivyo utakuwa umewapalia makaa ya moto vichwani mwao. Hata sasa usidhani kwamba waliokufanyia haya wana amani na furaha mioyoni mwao. La hasha! Damu na uhai wa mwanadamu sio mali ya mtu awaye yote bali ya Mungu. Kucheza na hivyo kinyume na sheria za nchi ni kuingilia himaya ya Mungu. Kwa hiyo wewe huhitaji kuwalaani kwani watekaji na watesi wako walikwisha kujilaani wenyewe. Jambo moja ambalo napenda kukuhakikishia ni kwamba: mateso yako, maumivu yako, uchungu wako, na machozi yako vitabaki kuwa kumbukumbu madhabahuni mbele ya kiti cha enzi cha Mungu aliye hakimu wa haki. Hivyo vitabaki kuwa kumbukumbu mpaka wale wote waliofanya hayo watakapokuja kusimama mbele za Mungu BWANA. Amani iwe nawe Mdude Chadema.View attachment 1093684
Babu acha siasa unajua ndio maana kile chuo chako cha SEKOMU kimepigwa pini na usalama wake niwewe uachie ngazi na mkeo. Nimekushauri kwa upendo tu baba askofu wetu.
 
Tangu nilipoyaona yale matusi how I wish wangekaua huko huko Goddamn siku zote mdomo unaponza kichwa halafu kijana unamdharau unamtukana na kumdhalilisha rais kiasi kile? Mimi kama mwanajeshi mwenye uzalendo na nchi hii na nisiyefungamana na upande wa chama chochote ningepewa hii mission ningekunyoosha vizuri bwana mdogo mpaka ungefurahi na roho yako .

Kutoka kambini.
Mwanajeshi gani anaongea kipuuzi puuzi namna hiyo,
 
Tangu nilipoyaona yale matusi how I wish wangekaua huko huko Goddamn siku zote mdomo unaponza kichwa halafu kijana unamdharau unamtukana na kumdhalilisha rais kiasi kile? Mimi kama mwanajeshi mwenye uzalendo na nchi hii na nisiyefungamana na upande wa chama chochote ningepewa hii mission ningekunyoosha vizuri bwana mdogo mpaka ungefurahi na roho yako .

Kutoka kambini.
Wanajeshi wengi ni watu wana akili, nawe ungekuwa kweli mwanajeshi usingekuwa na hayo Mawazo ya kuku ya kutaka kumfanyizia mwajiri wako!!!
 
Acheni kutisha watu
Tangu nilipoyaona yale matusi how I wish wangekaua huko huko Goddamn siku zote mdomo unaponza kichwa halafu kijana unamdharau unamtukana na kumdhalilisha rais kiasi kile? Mimi kama mwanajeshi mwenye uzalendo na nchi hii na nisiyefungamana na upande wa chama chochote ningepewa hii mission ningekunyoosha vizuri bwana mdogo mpaka ungefurahi na roho yako .

Kutoka kambini.
 
Tangu nilipoyaona yale matusi how I wish wangekaua huko huko Goddamn siku zote mdomo unaponza kichwa halafu kijana unamdharau unamtukana na kumdhalilisha rais kiasi kile? Mimi kama mwanajeshi mwenye uzalendo na nchi hii na nisiyefungamana na upande wa chama chochote ningepewa hii mission ningekunyoosha vizuri bwana mdogo mpaka ungefurahi na roho yako .

Kutoka kambini.
Acha ushamba wako ko ungemnyoosha mshahala wako ungepanda.wewe mlinzi mlala nje funga domo lako masikini wewe
 
Mamlaka ya shetani lazima ikemewe mzee
Amkumbushe pia aishi kwa kuheshimu mamlaka. Maana kama mdude alivyosema hataacha kutukana, ndivyo na wafundisha tabia wameapa kuwa hawatamuua ila ataendelea kukiona cha moto. Sasa asije akaja tena na tsmko kama hatamfundisha njia iliyo bora.
 
Bavicha kiboko,mpaka baba askofu kaingia mkenge!
Huyo mtu yupo hai,atueleze ni nani aliemteka mbona yupo kimya tu
 
Tangu nilipoyaona yale matusi how I wish wangekaua huko huko Goddamn siku zote mdomo unaponza kichwa halafu kijana unamdharau unamtukana na kumdhalilisha rais kiasi kile? Mimi kama mwanajeshi mwenye uzalendo na nchi hii na nisiyefungamana na upande wa chama chochote ningepewa hii mission ningekunyoosha vizuri bwana mdogo mpaka ungefurahi na roho yako .

Kutoka kambini.
kambi ya milembe
 
Hivi unalipwa mshahara unaotokana na Kodi zetu kwa ajili ya kuwaua wanaokulipa? Sasa ukimaliza kuwaua mshahara utapata kutoka wapi?
Kama kweli wewe ni mwanajeshi hufai kuwa hapo kambini tukikutunza kwa jasho letu! Hufai, hufai na hufai kuwa mwanajeshi!
Embu tuone hilo jasho lako
 
Back
Top Bottom