Askofu Stephen Munga: Mdude CHADEMA karibu tena duniani

Amkumbushe pia aishi kwa kuheshimu mamlaka. Maana kama mdude alivyosema hataacha kutukana, ndivyo na wafundisha tabia wameapa kuwa hawatamuua ila ataendelea kukiona cha moto. Sasa asije akaja tena na tsmko kama hatamfundisha njia iliyo bora.
 
narudia tena nasema wewe ni falasi sana
Unakurupuka tuu MTU akivunja sheria anatakiwa auwawe?
Unakuta wewe ni kimwanajeshi umeishia drs la tano upoo jkt unalima kahawa
 
Kwa kumteka na kuumiza mwili ndio uchumi utapanda?
hapo VIWANDA 550 vimejengwa na wakiteka MWINGINE viwanda 250 vinaongezeka kwa kuteka kuendelee ili viwanda vijengwe kwa wingi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ viwanda oyeeeπŸ˜‚πŸ˜‚

uchumi wa katikati oyeee
πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒ
 
Hivi unalipwa mshahara unaotokana na Kodi zetu kwa ajili ya kuwaua wanaokulipa? Sasa ukimaliza kuwaua mshahara utapata kutoka wapi?
Kama kweli wewe ni mwanajeshi hufai kuwa hapo kambini tukikutunza kwa jasho letu! Hufai, hufai na hufai kuwa mwanajeshi!
 
Mimi pia naungana na wewe baba askofu kumpa pole ila namshauri tu awe anatumia lugha ya busara kukosoa viongozi na sio kuwatukana maandiko matakatifu yanatuasa tutii mamlaka.
 
Mimi pia naungana na wewe baba askofu kumpa pole ila namshauri tu awe anatumia lugha ya busara kukosoa viongozi na sio kuwatukana maandiko matakatifu yanatuasa tutii mamlaka.
Atakua amejifunza na naamini hata viongozi wake watamshauri the same
 
Zezeta la kukurupuka, Mendez wa kutukana viongozi. hakuna siku uliyoacha kuporomosha matusi. Brain yako ina virus wa kutukana milele?
Ipo siku ambapo utaona raha ya kuteka watu.
Waswahili wanasema,muosha huoshwa.
Utakapotekwa na ww utajua kile tunachokisema.
 
Ni kweli,maandiko yanatuasa tutii mamlaka.
Lakini tukikosa kutii mamlaka,wenye mamlaka hawakuambiwa na maandiko kwamba wateke watu wasio watii.
Zipo mamlaka za kisheria wanapaswa kuzitumia. Vinginevyo sote tutahukumiwa kutokana na matendo yetu mbele ya Mungu
 
Eti kutoka kambini. Kambi ya sungusungu hiyo. Mwanajesshi timamu hawezi kuwa na akili za hovyohovyo namna hiyo. Mpuuzi.
 
Alitukanwa Yesu na akavumilia sembuse huyu anayejiita kichaa ?? Hii generation Ni tofauti na iliyopita , usitake kutawala kama unatawala familia yako
 
Kutoka kambi ya vichaa Mirembe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hotuba yote hiyo hakuna hata neno la kibaba la kumwonyesha binafsi kuwa ana makosa ya kiutu, matusi na dharau. Hapo tu ndo naona ni KIKI tu.
 
Alitukanwa Yesu na akavumilia sembuse huyu anayejiita kichaa ?? Hii generation Ni tofauti na iliyopita , usitake kutawala kama unatawala familia yako
,[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…