kurutu wa opp malela
Member
- Dec 25, 2016
- 63
- 83
Wote ni wapiga dili! Kila mmoja na tumbo lake. As long as kuna mazingira ya waumini kutoa sadaka, basi nchi ina Amani! Ikitokea waumini wakashindwa kwenda kutoa sadaka, --NCHI HAINA AMANIAmesema serikali imesitisha ajira mpaka sasa watanzania wengi walia walalamika kusitishwa kwa ajira serikali haitaki kusema ukweli alisema shoo hali ya umasikini yatanda yawa mbaya kuliko vipindi vyote vya uongozi watumishi wa umma wanaogopa kutumbuliwa awahasa kuendelea kusema ukweli asema watanzania walilia mikopo elimu ya juu asema serikali haina hofu ya mungu.
Swali zuri sanaTumwamini nani kati ya Askofu Shoo na Kadnali Pengo?
ShooTumwamini nani kati ya Askofu Shoo na Kadnali Pengo?
Shoo ndo kaongea ukweliTumwamini nani kati ya Askofu Shoo na Kadnali Pengo?
Ccm wahuni tulishawasitukia ndoo maana wamepunguza matamko ya tra kila mweziMie nafanya biashara, mzunguko wa pesa ni mdogo sana..nina mashaka sana na figure za TRA za makusanyo ya kila mwisho wa mwezi, wana cook data. Hali ni mbaya sana..
Huo Shoo hata nukta hajaweka kweli alichukia...kaongea weeee bila kupumzikaAmesema serikali imesitisha ajira mpaka sasa watanzania wengi walia walalamika kusitishwa kwa ajira serikali haitaki kusema ukweli alisema shoo hali ya umasikini yatanda yawa mbaya kuliko vipindi vyote vya uongozi watumishi wa umma wanaogopa kutumbuliwa awahasa kuendelea kusema ukweli asema watanzania walilia mikopo elimu ya juu asema serikali haina hofu ya mungu.
Always wana cook data... ili kuudanganya umma kuwa mambo ni mazuri... ilihali hali si shwari.Mie nafanya biashara, mzunguko wa pesa ni mdogo sana..nina mashaka sana na figure za TRA za makusanyo ya kila mwisho wa mwezi, wana cook data. Hali ni mbaya sana..
Hivi ni nidhamu ipi imerejea ofisini....???Awamu hii serikali ina kitu cha kujivunia kurudisha NIDHAMU kienyeji ofisi zao. Lakini kwa ishu ya ajira wamechemka Sana.. Wanafanya vijana wazidi kuwa tegemezi.. Na ndipo Umaskini unaanzia hapo tena
Kwanini umwamini yeyote chambua kati ya hizo kauli zao chagua unachotaka wewe,kila mtu katoa maoni yake hapoTumwamini nani kati ya Askofu Shoo na Kadnali Pengo?
Anapatikana wapi kwenye misa ya mwaka mpya niende na mimi kusali kanisa lake?Huo Shoo hata nukta hajaweka kweli alichukia...kaongea weeee bila kupumzika
Wizi WA Mali ya umma umepunguaHivi ni nidhamu ipi imerejea ofisini....???
Maana hili neno la nidhamu kurejea maofisini kama hamuelewi maana yake