Askofu Samson Gwajima amevamiwa

Kuna taarifa zimesambaa zinazosema kuwa Askofu Josephat Gwajima ndiye aliyepigwa na majambazi na kuumizwa vibaya.

Taarifa sahihi ni kuwa aliyepigwa na kuumizwa na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi ni Mch. Samson Gwajima na si Josephat Gwajima. Mch Samson Gwajima ni mdogo wa kuzaliwa wa Askofu Josephat Gwajima ambaye pia ni Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima tawi la jijini Mwanza.

Mch. Samson Gwajima alivamiwa na majambazi usiku wa kuamkia jana na kuumizwa vibaya kabla ya kupelekwa hospitali ya Bugando na baadaye Nairobi kimatibabu. Kwa sasa yupo kwenye uangalizi wa madaktari na anaendelea vizuri.
 
ila jamaa anaifluence aisee.Leo ndiyo nimeamini. leo airport palikuwa hapatoshi jamaa ametokeza tu shughuli zote zilisimama kwanza .wanamshangaa yeye.hadi wasafiri tuliokuwa tunajiandaa kuondoka tulipigwa na bumbuwazi.nilitamani tupande wote ndege moja.ili nimfaidi kumuangalia.bahati mbaya kumbe alikuwa na mgonjwa wake walikodi ndege yao.aisee huyu jamaa nizaidi ya kikwete
 
roho ya binadamu yeyote ina thamani. korea kaskazin mkuu wao wa kaya anaona roho za binadamu wenzie km karatasi
 
Nilikua nasikiliza Radio. Kuna habari moja inasema Askofu wa Kanisa la ufufuo na uzima, mchungaji Gwajima alivamiwa na majambazi na kwa sasa amelazwa katika hospital ya Bugando Jijini Mwanza. Taarifa zaidi zinasema amepata jeraha usoni na jeraha jingine alilochorwa alama ya msalaba!

Hii habari ina ukweli?

=======

radio gani huyo?
 
Gwajima kacheza na shillingi chooni.

Kalikoroga, sasa alinywe.

Shilingi gani? Au wewe ndo uliwatuma vibaka wampige mapanga nini? Nijuavyo mimi samson gwajima alivamiwa na vibaka na afisa wa takukuru na kaya zingine kama 3 zilivamiwa na hao vijana. Ni mtaa wa Ihila, kata ya buhongwa wilaya ya nyamagana, jiji la mwanza
 
Nimeisoma vizuri sana ndiyo maana nikafikisha huo ujumbe.

Nisome vizuri labda utanielewa, wenye uelewa wameshanielewa.

Tatizo lako wewe ni misimamo mikali, kwa jinsi unavyochangia mada humu JF nahisi wewe unafadhili Alshabab, boko haramu, ISIS.
 
Tatizo lako wewe ni misimamo mikali, kwa jinsi unavyochangia mada humu JF nahisi wewe unafadhili Alshabab, boko haramu, ISIS.

Hahaha hao wanafadhiliwa na USA, kwa ushahidi kabisa. Hawana uhusiano wowote na Gwajima wala mimi. Kumbuka hilo.
 
Back
Top Bottom