Monyiaichi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 1,826
- 508
Hawa CHADEMA wamechezea hii nchi vya kutosha ni wakati sasa rais ajae aone uhuru wa kuongea kwa wapuuzi kama hawa basi na awapige pini vya kutosha
Ndio matamanio yako ya kila siku we shilingi ('shilingi' hata zikiwekwa 100 bado hazinunui kitu cha maana). Kwa taarifa yako mataifa ya ulaya mnayopenda kuwaegemea kila siku uhuru ni zaidi ya huu unaouona hapa, rais anatukanwa kama kawa hadi hasira za mtu ziishe.
Hivi mkikaa kuogelea kwenye ufisadi huko mnasahau kama wenzenu wako kwenye shida eh? Leteni hizo sheria tuone kama zitafaa kipindi hiki