Askofu: Rais Kikwete usivunjike moyo

Askofu: Rais Kikwete usivunjike moyo

Hivi UKAWA mnazo kweli? mnajua kabisa issue ya Katiba ni nyeti halafu mfanya utoto kiasi hicho?

Wewe mpumbavu jaribu kuupunguza urudi kwenye ujinga.....taratibu utauona ukweli
 
8D6U8671.JPG

Kikwete na Maarais wastaafu walivyojitahidi kumkumbatia Pengo katika nafasi yake ya anniversary ya uaskofu miaka 25 Dar na ndio maana amekuwa kimbilio la Kikwete kutoa matamkoa yanayoendana kinyume na msimamo wa pamoja wa kanisa katoliki, ndicho anachofanya askofu Ndimbo.
Ndugu, Tatizo hapa ni nini?. Ulitaka wasihudhuria hiyo sherehe baada ya kupata official invitation?.

Inavyoonekana wewe ni kati ya wale wanaoombea mabaya ili kupata ajenda za kisiasa kwa faida ya ubinafsi wa kisiasa.
 
Viongozi wa dini wanawasihi ukawa kurudi bungeni, kama hamtaki mtabaki peke yenu.
 
inasikitisha sana kuona askofu anafikra potofu katika hili, watanzania wezangu tunakwenda wapi? lakini mtu kama askofu hana dhiki na taabu na ndiyo maana anakashfu haki ya wasakatonge.
Ndugu, una haki ya kukubali au kukataa fikra zake kwa vile yeye alichokifanya ni kutimiza wajibu wake kama kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Mbinga.
 
Ulishakuja uzi hapa kusema kwamba kutakuwa nq mbinu watakazofanya ccm kutumia viongozi wa dini kusema kwamba wao wanaunga mkono mchakato wa kupitisha rasimu ya katiba ya ccm. Hivyo basi sishangai kuona haya yakisemwa sasa. Hata hivyo nguvu nyingi zinazotumika kuhalalisha mchakato huo ni dalili tosha kwamba ccm wanajua fika kwamba wanachokifanya hakiungwi mkono na wananchi walio wengi.
 
KUwa askofu si ishu! unaweza kuwa askofu na bado ukaji komba kwa ....kama huyu bwana haoni , au aelewi wanacho tafuta UJKAWA ni ufinyu wake wa akili...
 
Hatutengenezi katiba ya maskofu au ya viongozi wa dini, kwahiyo kutumia viongozi hao ni mpango wa kupuuuzi usio na mashiko,..
 
Unaleta utumbo wako kutoka makaratasi ya kufungia vitumbua na nyanya magengeni hapa,ili watu makini tusome mnalazimisha baada ya kuona hayanunuliki hahahahaaa
 
Ndugu, usihangaike na watu tunaowaita ''debe tupu'' ambalo kelele ndiyo jadi yake.

Waache waendelee kusema lakini ukweli unaendelea kusimama kila siku.

Rais Kikwete amenukuliwa akisema, “Hatuwezi sisi kujiingiza katika shughuli ya kupoteza muda kwa kushiriki upuuzi na ujinga. Haya ni maneno ya kipuuzi yanayosemwa na watu ambao kazi yao usiku na mchana ni kuota jinsi ya kuyumbisha ajenda yetu ambayo imefanikiwa sana katika kubadilisha hali ya maisha ya Watanzania.’
Si kuna nguruwe nimesikia inasema Rais ajaye ndo ataongoza Tanzania yenye watu wenye maisha bora? Sasa ni mburura gani tena anasema ameboresha maisha ya watanzania? Akili ndogo ni janga!!
 
Ndugu, usihangaike na watu tunaowaita ''debe tupu'' ambalo kelele ndiyo jadi yake.

Waache waendelee kusema lakini ukweli unaendelea kusimama kila siku.

Rais Kikwete amenukuliwa akisema, “Hatuwezi sisi kujiingiza katika shughuli ya kupoteza muda kwa kushiriki upuuzi na ujinga. Haya ni maneno ya kipuuzi yanayosemwa na watu ambao kazi yao usiku na mchana ni kuota jinsi ya kuyumbisha ajenda yetu ambayo imefanikiwa sana katika kubadilisha hali ya maisha ya Watanzania.’

Hiyo nukuu kwenye nyekundu ilitolewa na Kikwete huko Washington D.C. wakati alipokuwa anajitetea kuwa hakuhusika na kwenda kumtoa mtoto wake huko China anakosemekana alikamatwa na madawa ya kulevya!! Je serikali yake inabadilisha maisha ya Watanzania kwa kufumbia macho wauza madawa ya kulevya na wala rushwa?
 
nyie mapro ccm huwa mnalikashifu sana kanisa katoliki, sijui leo vipi!!
 
Hiyo nukuu kwenye nyekundu ilitolewa na Kikwete huko Washington D.C. wakati alipokuwa anajitetea kuwa hakuhusika na kwenda kumtoa mtoto wake huko China anakosemekana alikamatwa na madawa ya kulevya!!

Ndugu, Hiyo nukuu imebeba ujumbe mpana kuhusu kelele na ajenda za kilaghai zinazofanywa na baadhi ya wanasiasa ili CCM na serikali yake zitumie muda kujibidhana na wapuuzi.

Mark Twain alishawahi kusema, Never argue with stupid people, they will drag you down to their level and beat you with experience.

Je serikali yake inabadilisha maisha ya Watanzania kwa kufumbia macho wauza madawa ya kulevya na wala rushwa?
Wewe una fikiria vipi?. Nisaidie!
 
Ulishakuja uzi hapa kusema kwamba kutakuwa nq mbinu watakazofanya ccm kutumia viongozi wa dini kusema kwamba wao wanaunga mkono mchakato wa kupitisha rasimu ya katiba ya ccm. Hivyo basi sishangai kuona haya yakisemwa sasa. Hata hivyo nguvu nyingi zinazotumika kuhalalisha mchakato huo ni dalili tosha kwamba ccm wanajua fika kwamba wanachokifanya hakiungwi mkono na wananchi walio wengi.
Mitazamo na fikra za wanaCHADEMA zinashangaza na kuchekesha sana!

Kwa vile viongozi wao wana bei katika vichwa vyao, basi wanadhani kila kiongozi ananunulika.

Suala la Katiba liko mikononi mwa wananchi ambao wana nguvu kisheria ya kukubali au kuikataa katiba kwenye kura za maoni katika sanduku la kura.

Siyo kazi ya wanasiasa na hasa kikundi kinachojiita UKAWA kufanya kazi ya wananchi kama vile wananchi hawana upeo wa kutoa maamuzi katika sanduku la kura wakati wa zoezi la kupiga kura ya maoni kuhusu Katiba Mpya.
 
Kuwakumbatia wauza madawa ya kulevya na wala rushwa hakuwezi kubadilisha maisha ya watanzania kuwa bora!!
 
...jamani si TEC wameshatoa msimamo?,sasa huyu anatoka wapi?.Kanisa katoliki inapoteza mwelekeo kabisa!.Ikiwa ni kweli Bishop huyu kasema hayo basi kanisa catholic inakosa uwajibikaji wa pamoja.Kanisa inatakiwa kuwa mpatanishi full stop.wamepotoka wengi sana kwa sb ya maslahi binafsi but Tanganyika itashinda.
Mkuu, ni vigumu kuwaamini waandishi wa habari wa Kitanzania hasa magazeti kama Habari leo na Uhuru. Ukifuatilia sana kwa undani utakuta alilolisema Ndimbo ni kitu tofauti kabisa. Kumbuka walivyoandika kuhusu kauli ya Askofu Severine Niwemugizi aloyasema kule Iringa kwa Ngalalekumtwa ilohusu mchakato wa katiba hii mkwamo, mambo tofauti kabisa aloyasema na yaloandikwa.

Hakuna Askofu wa Kanisa Katoliki anayeweza kujipendekeza kwa wanasiasa hasa hawa uchwara wa CCM, of all the people, Kikwete? Haiwezekani kabisa!!!!! Ndimbo must have been misquoted for wrong political reasons. After all TEC washatoa msimamo kuhusu huu mchakato Mkwamo wa Katiba!!!! In fact TEC is siding with the majority, I mean, the draft as tabled by the former Chairman of the commission!!!!
 
Ndugu, usihangaike na watu tunaowaita ''debe tupu'' ambalo kelele ndiyo jadi yake.

Waache waendelee kusema lakini ukweli unaendelea kusimama kila siku.

Rais Kikwete amenukuliwa akisema, “Hatuwezi sisi kujiingiza katika shughuli ya kupoteza muda kwa kushiriki upuuzi na ujinga. Haya ni maneno ya kipuuzi yanayosemwa na watu ambao kazi yao usiku na mchana ni kuota jinsi ya kuyumbisha ajenda yetu ambayo imefanikiwa sana katika kubadilisha hali ya maisha ya Watanzania.’

kunauhusiano gani kati ya mada ya katiba uliyoweka na nukuu ya Kikwete ya "kubadilisha maisha ya watanzania"??
ni kwa vipi mchakato huu wa katiba umebadilisha maisha ya watanzania??
 
kunauhusiano gani kati ya mada ya katiba uliyoweka na nukuu ya Kikwete ya "kubadilisha maisha ya watanzania"??
ni kwa vipi mchakato huu wa katiba umebadilisha maisha ya watanzania??
Mchangiaji, Profesa Anna Tibaijuka, alisema Rais Kikwete ameibuka mshindi katika mchakato huo, kwa kutimiza matakwa ya demokrasia ya kusikiliza wachache, kwa kuwa alianzisha mchakato huo, ingawa haukuwa katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2010.

Alisema kama Rais asingechukua uamuzi huo, elimu kuhusu mchakato wa Katiba iliyopatikana mpaka sasa, isingepatikana.

http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/27997-bunge-la-katiba-bila-ukawa
 
Picha ya miaka kadhaa habari leo wanaweka leo, JK anatafuta huruma kwa nguvu , Katoliki walishaweka msimamo wao hadharani, huyu ni Askofu aina ya Mokiwa ........
 
Back
Top Bottom