MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,268
Ndugu, usihangaike na watu tunaowaita ''debe tupu'' ambalo kelele ndiyo jadi yake.haya askofu mwingine kasema, watu watakuja sema nae kalipwa.
Ndugu, huyo ni Askofu wa Kanisa Katoliki, Jimbo la MbingaHuyo askofu lumumba buku7fc.
Ndugu, usihangaike na watu tunaowaita ''debe tupu'' ambalo kelele ndiyo jadi yake.
Waache waendelee kusema lakini ukweli unaendelea kusimama kila siku.
Rais Kikwete amenukuliwa akisema, Hatuwezi sisi kujiingiza katika shughuli ya kupoteza muda kwa kushiriki upuuzi na ujinga. Haya ni maneno ya kipuuzi yanayosemwa na watu ambao kazi yao usiku na mchana ni kuota jinsi ya kuyumbisha ajenda yetu ambayo imefanikiwa sana katika kubadilisha hali ya maisha ya Watanzania.
kasema askofu, wapambe wa CDM wapo kimyaaaaaaaa hawathubutu hata kumkosoa.

Angesema mtu mwingine thread ingekuwa page ya 3 mdahuu.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mhashamu John Ndimbo, Askofu wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Mbinga.
=============================================================================
Pamoja na tamko, viongozi mmoja mmoja kwa wakati wake wanasisitiza msimamo wa kumuunga mkono JK, sidhani kama kuna tatizo, atakemewa yule tu atakayekwenda na kinyume na msimamo wa kanisa...jamani si TEC wameshatoa msimamo?,sasa huyu anatoka wapi?.Kanisa katoliki inapoteza mwelekeo kabisa!.Ikiwa ni kweli Bishop huyu kasema hayo basi kanisa catholic inakosa uwajibikaji wa pamoja.Kanisa inatakiwa kuwa mpatanishi full stop.wamepotoka wengi sana kwa sb ya maslahi binafsi but Tanganyika itashinda.
Kikwete na Maarais wastaafu walivyojitahidi kumkumbatia Pengo katika nafasi yake ya anniversary ya uaskofu miaka 25 Dar na ndio maana amekuwa kimbilio la Kikwete kutoa matamkoa yanayoendana kinyume na msimamo wa pamoja wa kanisa katoliki, ndicho anachofanya askofu Ndimbo.
Ndugu, Are you BAVICHA!Maisha ya watanzania yamebadilika!aseme maisha yake ndiyo yamebadilika kutokana na ubinafsi,upuuzi alianzisha mwenyewe kwa kutoa maoni wakati muda Wa kutoa maoni ulishaisha,akaweka msimamo kuwa,serikali Tartu mpaka yeye aondoke madarakani,ila kuna kitu anahofia,nafikiri kuna watu nyuma yake wana mdrive
Mkuu Haya uliyonukuu ni majibu aliyotoa kuhusiana na Mwanaye kuhusishwa na madawa ya kulevya......majibu haya hupaswi kuyageneralize mpaka kwenye ishu hii nyeti ya katiba.......
Ndugu, Are you BAVICHA!
Nadhani hufahamu kuwa hata kupewa uhuru wa kuweza kusema Rais Kikwete ni mpuuzi inaonyesha jinsi maisha yako yalivyobadilika. Kuna nyakati hukuweza kusema au kuandika maneno haya ndani ya nchi.
Uhuru ulionao kwa sasa wa kutafuta, kupokea, kuwa na maoni yoyote na kuyatoa nje kwa kupitia chombo chochote bila kujali mipaka ya nchi ni kioo kinachoonyesha kuwa maisha yamebadilika.