Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 4,953
- 4,326
Hawa wanashughulika na roho za watu ambazo hazina katiba bali zina uzima wa milele.akili za abunuwasi hizi. kwani askofu ai shehe sio mwananchi?
Hawa wanashughulika na roho za watu ambazo hazina katiba bali zina uzima wa milele.akili za abunuwasi hizi. kwani askofu ai shehe sio mwananchi?
Nchi zilizoendelea kama Uingereza wala hazina kitu kinachoitwa katiba ya nchi. Walishaachana na upumbafu huo.Ww jamaa bado hujabalehe kiakili,katba ndyo sheria mama,ndyo muongozo Mkuu wa nchi na watu wake pamoja na rasilimali zote..., we need a constitution amendment ili kuweka mambo sawa
Ninauhakika kama pangekuwepo na kipengele chenye kuwabana wabunge mataka taka wasingejiuzulu!
View attachment 650932
Bado nitaendelea kuizungumzia Katiba na Mambo mengine yenye maslai kwa nchi yangu kwa sababu inagusa maisha yangu na Kanisa ninalotumikia, lakini pia inayagusa maisha ya raia wenzangu wote
Kwani hao masheikh na maaskofu sio Watanzania?Ya Kaisari mwachie Kaisari na ya Mungu mwache Mungu. Haipendezi baba askofu au sheikh akawa anashughulika na mambo ya kaisari. Tutaipeleka pabaya nchi yetu. Katiba mpya au iliyopo hazihusiki na ibada yo yote ile.
Alijitangazia mwenyewe kuwa hatoshiriki kwenye jukwaa la siasa,huyu...[HASHTAG]#trolljf[/HASHTAG]......eeeh ! We ndo mkaguzi !?
punguwaniHawa wanashughulika na roho za watu ambazo hazina katiba bali zina uzima wa milele.
ILA Uchwara mnafiki sana. Hua anajifanya hahusiki kumbe ndiye anawatuma......mwache aendelee kumjaribu !
Banana+Kirikuuu+Ugoro=UkichaaMaaskofu hawana moral authority ya kuikosoa serikali kwa sababu wao wenyewe na taasisi zao hazina hadhi ya kuwa wakosoaji. Ndani ya taasisi za kanisa hakuna uwazi ktk mambo mbalimbali yakiwamo matumizi ya fedha za waumini.Pia seminari sasa zinalalamikiwa kuwa ni kichaka cha ushoga. Kuna ukandamizaji na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ndani ya kanisa. Wanachukua Ardhi kubwa toka kwa wananchi bila fidia wakiwadanganya kuwa wataleta maendeleo.Matokeo yake ardhi inakaa miaka na miaka hakuna kitu.Ni utapeli mtupu. Msingi wa katiba yoyote ile ni kulinda haki. Basi hao viongozi wa dini waanze kujenga uadilifu na haki ndani ya mioyo yao. Vinginevyo hao ni waongo wanaotafuta kiki tu. Wasafishe kwanza nyumba zao. Waache usanii.
Never, ni serikali kutumia risasi kama za LisuMaaskofu na masheikh huwa hawana lugha za namna hiyo zinazopatikana chadema tu. Lugha za namna hiyo ndizo zimeifanya chadema kupumulia mashine kwa sasa.
Bila kusahau mashehe kama hawapo vile wajifunze kwa askofu huyu anaetamani haki ipatikane nimemsifu kwa umahiri wakeAsante baba askofu.
Naomba uwatie Moyo maaskofu wenzako na mapadri, wajue kwamba, wasipoyasemea haya, wanakuwa wanasaliti kiapo chao cha kuwatumikia wanyonge waluo wengi.
Ya Kaisari mwachie Kaisari na ya Mungu mwache Mungu. Haipendezi baba askofu au sheikh akawa anashughulika na mambo ya kaisari. Tutaipeleka pabaya nchi yetu. Katiba mpya au iliyopo hazihusiki na ibada yo yote ile.