Askofu Mwamasika: UKAWA sawa na muunganiko wa Walevi

kwa mfano angeisema ccm kweli mungelalamika nyinyi vifuu tunduu? Si mungemtengenezea uzi kama wale mapadre wenu wapendwa?

Wangesema viongozi wa dini tafadhali msijihusishe na siasa kwani mnaleta chuki kwa watanzania.Lakini kwa sababu ni CCM hakuna shida , viongozi wa dini waombee AMANI .
 
Ask.Mwamasika ujibu tuhuma za miradi uliosema ya Kanisa kumbe siyo; wakati wa utawala wako kama askofu wa Dayosisi Dom.
 
Tumwiteje naye Mwamasika baada kutema Uaskofu na migogoro ya nani mmilika wa miradi mikubwa ya kanisa kama kule Ntuka !
 
Mwamasika au mwenyewe anavyopenda kujiita DR,,,kwao ni IRINGA ni mtu aliestaafu uASKOFU wa KKKT alikuwa Dayosisi ya DODOMA alitaka kugombea Ubunge Jimbo la DODOMA MJINI maGAMBA wenzie wakampiga chini kwenye KURA ya MAONI ni mganga Njaa anaejificha kwenye kwapa lauSOMI huwa namdharau sana huyu mtu hasa anapokuja makanisani,,haijalishi anapewa nafasi yakuhubiri au kusalimia Lazima aingize upumbavu wa maGAMBA so huyo ni wakuhurumiwa tu,,,Sababu tunachojua cc wengine Mtumishi wa MUNGU niyule anaecmama ktk uKWELI sio TUMBO,,,,!

Okay, got it!
 
Hivi bado kuna watu bado wanasoma hicho kipeperushi takataka, eti ' uhuru'! Waandishi wa hilo gazeti ni watu wenye njaa sana, wamekosa kazi koote mpaka wapo hapo!!
Okay jibu ni rahisi, itakuwa ni wale makanjanja wanaojua kusoma na kuandika tu, baaasi!

Kama UKAWA ni walevi basi itakuwa ni ulevi wa maendeleo na ukombozi wa nchi hii, kitu ambacho ni kizuri sana.
 
Ask.Mwamasika ujibu tuhuma za miradi uliosema ya Kanisa kumbe siyo; wakati wa utawala wako kama askofu wa Dayosisi Dom.
Khaa!! Jinga kwelikweli wewe. Topic iliyopo ni UKAWA NI SAWA NA MUUNGANO WA WALEVI. Hebu jitahidi kufocus hapo kama unamengine anzisha thread mpya. Acha akili za kitumwa
 
Askofu amedai muunganiko wa UKAWA sawa na muunganiko wa walevi.
Image000026.jpg

Chanzo: Uhuru la leo

Ha ha ha ha ha ha ha ha! Haaaaaa! Haaaaaaa! Gazeti lenyewe hilo la propaganda? Kweli UKAWA wanawatesa sana CCM, hamlali kabisa ucngz
 
Mwamasika au mwenyewe anavyopenda kujiita DR,,,kwao ni IRINGA ni mtu aliestaafu uASKOFU wa KKKT alikuwa Dayosisi ya DODOMA alitaka kugombea Ubunge Jimbo la DODOMA MJINI maGAMBA wenzie wakampiga chini kwenye KURA ya MAONI ni mganga Njaa anaejificha kwenye kwapa lauSOMI huwa namdharau sana huyu mtu hasa anapokuja makanisani,,haijalishi anapewa nafasi yakuhubiri au kusalimia Lazima aingize upumbavu wa maGAMBA so huyo ni wakuhurumiwa tu,,,Sababu tunachojua cc wengine Mtumishi wa MUNGU niyule anaecmama ktk uKWELI sio TUMBO,,,,!
Hii ni kweli huyu dingi ana vituko sana na anapenda sana kuchanganya mambo juzi jumapili alikuwa kanisani kijitonyama kkkt na baada ya kupewa nafasi ndogo ya kutoa salamu zake kwa ufupi tu akaanza story nyingi mara nilikuwa usalama wa taifa mara sijui nini hadi mkewe alitaka kumnyang'anya mic
 
Huyu askofu ni yule alikiwa dodoma KKKT

Hahahaa kama ndio video yake nimeiona kitambu kile
 
Huyo nimtoza ushuru,ameona sadaka hakuna,kaamua kutoka kivingine,ili akiunga mkono awamu ya 5,wanaweza kumpa chochote.
 
Mwamasika au mwenyewe anavyopenda kujiita DR,,,kwao ni IRINGA ni mtu aliestaafu uASKOFU wa KKKT alikuwa Dayosisi ya DODOMA alitaka kugombea Ubunge Jimbo la DODOMA MJINI maGAMBA wenzie wakampiga chini kwenye KURA ya MAONI ni mganga Njaa anaejificha kwenye kwapa lauSOMI huwa namdharau sana huyu mtu hasa anapokuja makanisani,,haijalishi anapewa nafasi yakuhubiri au kusalimia Lazima aingize upumbavu wa maGAMBA so huyo ni wakuhurumiwa tu,,,Sababu tunachojua cc wengine Mtumishi wa MUNGU niyule anaecmama ktk uKWELI sio TUMBO,,,,!
Kuna kavideo kake kachafu pia kalivuja akiwa na mwana kwaya enz hizo 2011 au 2012 tupo udom kumbe huyu mzee bado yupogo tu embu ajinyamazie
 
Back
Top Bottom